title : ZOEZI LA UGAWAJI WA VITAMBULISHO KWA WAJASIRIAMALI LAMALIZIKA JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : ZOEZI LA UGAWAJI WA VITAMBULISHO KWA WAJASIRIAMALI LAMALIZIKA JIJINI DAR ES SALAAM
ZOEZI LA UGAWAJI WA VITAMBULISHO KWA WAJASIRIAMALI LAMALIZIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
MKOA wa Dar es Salaam umemaliza zoezi la utoaji wa vitambulisho kwa wajasriamali na kuwa kinara kwa kutimiza agizo la Rais Mh Dkt. John Magufuli la kutoa vitambulisho hivyo bure kwa wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) kwa nia ya kurasimisha sekta hiyo Muhimu katika ujenzi wa Taifa.
Zoezi hilo la ugawaji wa vitambulisho 25,000 kwa awamu ya kwanza limekamilika tarehe Januari 3 mwaka huu na kuufanya Mkoa huu kuwa Mkoa wa kwanza kitaifa katika kukamilisha zoezi la ugawaji wa vitambulisho hivyo. Baada ya kukamilisha zoezi hilo kwa haraka jijini Dar es Salaam tayari wamepokea vitambulisho vingine 25,000 kwa ajili ya kuendelea kwa ugawaji wa vitambulisho hivyo kwa awamu ya pili.
Akizungumza katika makabidhiano ya vitambulisho hivyo kwa wakuu wa wilaya wa Mkoa huo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amemshukuru Rais Magufuli kwa kukubali ombi la nyongeza ya vitambulisho vingine 25,000 kwa wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salam na kueleza kuwa ugawaji wa vitambulisho hivyo utaanza ambavyo vitaanza kugaiwa katika wilaya zote kuanzi kesho.
Makonda amesisitiza ufuatajwi wa sheria na kanuni katika ugawaji wa vitambulisho hivyo na kusisitiza kuwa vitambulisho hivyo haviuzwi bali kiasi cha shilingi 20,000 inayotolewa na wafanyabiashara wadogo ni mchango wa gharama za utengenezwaji na si vinginevyo, na amekemea vikali ulanguzi wowote ambao unaweza kutokea katika zoezi hili la ugawaji.
Vitambulisho hivyo vimekabidhiwa kwa wakuu wa Wilaya wa Mkoa wa Dar es Salaam na kupokelewa Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva kwa niaba yao.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda (kushoto) akimkabidhi kasha la vitambulisho vya wafanyabiashara wadogowadogo Mkuu wa Wilaya wa Temeke Felix Lyaniva (kushoto) katikati ni katibu tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam Abukar Kunenge.
Hivyo makala ZOEZI LA UGAWAJI WA VITAMBULISHO KWA WAJASIRIAMALI LAMALIZIKA JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote ZOEZI LA UGAWAJI WA VITAMBULISHO KWA WAJASIRIAMALI LAMALIZIKA JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZOEZI LA UGAWAJI WA VITAMBULISHO KWA WAJASIRIAMALI LAMALIZIKA JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/zoezi-la-ugawaji-wa-vitambulisho-kwa.html
0 Response to "ZOEZI LA UGAWAJI WA VITAMBULISHO KWA WAJASIRIAMALI LAMALIZIKA JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment