title : MAMA JANETH MAGUFULI AMKARIBISHA MAMA SIZAKELE ZUMA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM
kiungo : MAMA JANETH MAGUFULI AMKARIBISHA MAMA SIZAKELE ZUMA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM
MAMA JANETH MAGUFULI AMKARIBISHA MAMA SIZAKELE ZUMA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa ameongozana na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, wakati wakielekea kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa katika mazungumzo na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akipeana mikono na Mke wa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Jacob Zuma, Mama Sizakele Zuma, kwenye ofisi yake anayoendeshea shughuli za kijamii ikiwa ni pamoja na kusaidia wazee walemavu na wale walioathirika na ugonjwa wa ukoma jijini Dar es salaam siku ya Alhamisi. Mama Zuma alikuwa ameongozana na mumewe aliyekuwa katika ziara ya kikazi nchini.
Hivyo makala MAMA JANETH MAGUFULI AMKARIBISHA MAMA SIZAKELE ZUMA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM
yaani makala yote MAMA JANETH MAGUFULI AMKARIBISHA MAMA SIZAKELE ZUMA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMA JANETH MAGUFULI AMKARIBISHA MAMA SIZAKELE ZUMA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/mama-janeth-magufuli-amkaribisha-mama.html
0 Response to "MAMA JANETH MAGUFULI AMKARIBISHA MAMA SIZAKELE ZUMA OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM"
Post a Comment