title : KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AHUDHURIA MKUTANO WA VYMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA NCHINI ANGOLA
kiungo : KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AHUDHURIA MKUTANO WA VYMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA NCHINI ANGOLA
KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AHUDHURIA MKUTANO WA VYMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA NCHINI ANGOLA
MwambawahabariKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Abdrahamani Kinana yuko nchini Angola akiongoza ujumbe wa CCM katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Vyama vya ukombozi wa kusini mwa Afrika( Front Line State parties).Pia Ndugu Katibu Mkuu ameongoza Majadiliano na vyama Rafiki vilivyoshiriki Mkutano huo kikiwemo Chama Cha Kikomunisti Cha watu wa China .Ujumbe wa CCM umejumuisha katibu wa Itikadi,Siasa na Uenezi( Ndg.Humphrey Polepole) Katibu wa Siasa na Uhusiano wa kimataifa(Ndg.Ngemela Lubinga) na watendaji wa Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM). Vyama Rafiki Vimepongeza CCM MPYA NA MWENENDO WAKE.
Hivyo makala KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AHUDHURIA MKUTANO WA VYMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA NCHINI ANGOLA
yaani makala yote KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AHUDHURIA MKUTANO WA VYMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA NCHINI ANGOLA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AHUDHURIA MKUTANO WA VYMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA NCHINI ANGOLA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/katibu-mkuu-wa-ccm-ndugu-abdulrahman.html
0 Response to "KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AHUDHURIA MKUTANO WA VYMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA NCHINI ANGOLA"
Post a Comment