title : JIWE LA MSINGI LA UENDELEZAJI WA BARABARA YA KUUNGANISHA DARAJA LA NYERERE LAWEKWA WAKATI WA MBIO ZA MWENGE
kiungo : JIWE LA MSINGI LA UENDELEZAJI WA BARABARA YA KUUNGANISHA DARAJA LA NYERERE LAWEKWA WAKATI WA MBIO ZA MWENGE
JIWE LA MSINGI LA UENDELEZAJI WA BARABARA YA KUUNGANISHA DARAJA LA NYERERE LAWEKWA WAKATI WA MBIO ZA MWENGE
Jiwe la Msingi la mradi wa ujenzi wa Barabara ya Kiungo kati ya Daraja la Nyerere na Barabara ya Kigamboni-Kibada lililowekwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Amour Hamad Amour. (Picha na Francis Dande)
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godius Kahyarara, akitoa taarifa ya mradi wa ujenzi wa Barabara ya Kiungo kati ya Daraja la Nyerere na Barabara ya Kigamboni-Kibada yenye urefu wa kilometa 1.2 wakati kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Amour Hamad Amour alipoweka jiwe la Msingi.
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Amour Hamad Amour, akizindua wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa mradi wa Barabara ya Kiungo kati ya Daraja la Nyerere na Barabara ya Kigamboni-Kibada.

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Amour Hamad Amour (wa pili kulia) akiwa ameongozana na Meneja Mradi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Jamal Mruma (kulia), wakati wa uzindua wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kiungo kati ya Daraja la Nyerere na Barabara ya Kigamboni-Kibada. Habari kamili BOFYA HAPA
Hivyo makala JIWE LA MSINGI LA UENDELEZAJI WA BARABARA YA KUUNGANISHA DARAJA LA NYERERE LAWEKWA WAKATI WA MBIO ZA MWENGE
yaani makala yote JIWE LA MSINGI LA UENDELEZAJI WA BARABARA YA KUUNGANISHA DARAJA LA NYERERE LAWEKWA WAKATI WA MBIO ZA MWENGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JIWE LA MSINGI LA UENDELEZAJI WA BARABARA YA KUUNGANISHA DARAJA LA NYERERE LAWEKWA WAKATI WA MBIO ZA MWENGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/jiwe-la-msingi-la-uendelezaji-wa.html
0 Response to "JIWE LA MSINGI LA UENDELEZAJI WA BARABARA YA KUUNGANISHA DARAJA LA NYERERE LAWEKWA WAKATI WA MBIO ZA MWENGE"
Post a Comment