WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAELIMISHWA KUHUSU KIPINDUPINDU

WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAELIMISHWA KUHUSU KIPINDUPINDU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAELIMISHWA KUHUSU KIPINDUPINDU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAELIMISHWA KUHUSU KIPINDUPINDU
kiungo : WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAELIMISHWA KUHUSU KIPINDUPINDU

soma pia


WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAELIMISHWA KUHUSU KIPINDUPINDU

 Mkuu wa Wilaya ya Mjini Marina Joel Thomas akifungua mafunzo ya waandishi wa habari  juu ya maradhi ya kipindupindu yaliyoandaliwa na Idara ya Kinga katika Ukumbi wa  RCH Kidongochekundu Mjini Zanzibar.
 Afisa  Afya Juma Mohd Juma akitoa maelezo ya historia ya kipindupindu duniani na hatimae kuingia Zanzibar katika miaka ya 1976 na kurejea kila baada ya kipindi.
 Mwandishi wa habari wa Redio Coconut Tabia Makame akitoa mchango katika mafunzo ya waandishi wa habari ulioandaliwa na Idara ya Kinga na Elimu ya Afya kuhusu maradhi ya kipindupindu.
 Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya Halima Ali Khamis akieleza malengo ya Wizara ya Afya katika kukabiliana na maradhi ya kipindupindu ili kuhakikisha yanaondoka Zanzibar. 
 Daktari dhamana Wilaya ya Mjini Ramadhani Mikidadi Suleiman akieleza dalili za maradhi  ya kipindupindu Zanzibar na dalili zake katika hatua za awali katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa RCH.
 Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Hassan Vuai akifunga mafunzo  ya waandishi wa habari kuhusu maradhi ya kipindupindu katika ukumbi wa RCH Kidongochekundu.


Hivyo makala WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAELIMISHWA KUHUSU KIPINDUPINDU

yaani makala yote WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAELIMISHWA KUHUSU KIPINDUPINDU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAELIMISHWA KUHUSU KIPINDUPINDU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/waandishi-wa-habari-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR WAELIMISHWA KUHUSU KIPINDUPINDU"

Post a Comment