Amour Janja atokea benchi na kupeleka msiba Jang'ombe Boys

Amour Janja atokea benchi na kupeleka msiba Jang'ombe Boys - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Amour Janja atokea benchi na kupeleka msiba Jang'ombe Boys, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Amour Janja atokea benchi na kupeleka msiba Jang'ombe Boys
kiungo : Amour Janja atokea benchi na kupeleka msiba Jang'ombe Boys

soma pia


Amour Janja atokea benchi na kupeleka msiba Jang'ombe Boys

Timu ya kikosi cha JKU iliyoifunga Jan'gombe Boys


Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Ligi kuu ya Zanzibar hatua ya 8 bora jioni ya leo imemaliza mzunguko wa 3 kwenye dimba la Amaan ambapo Timu ya JKU imefanikiwa kutoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Jang’ombe Boys.

Mchezo huo ambao ulikuwa mgumu kwa timu zote mbili na kupelekea hadi mapumzika hakuna timu iliyoona lango la mwenziwe.

Kurudi kumaliza kipindi cha pili timu zote zilifanya mabadiliko kwa kila upande kutaka kuondoka na alama tatu muhimu lakini mchezaji aliyetokea benchi Amour Omar “Janja” akaipatia alama tatu JKU baada ya kufunga bao katika dakika ya 89 ya mchezo.

Ligi hiyo itakwenda mapumziko kupisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kisha kuendelea mzunguko wa nne ambapo mpaka sasa Jamhuri ndie kinara mwenye alama 9 kufuatia kushinda michezo yake yote mitatu ya awali.


Hivyo makala Amour Janja atokea benchi na kupeleka msiba Jang'ombe Boys

yaani makala yote Amour Janja atokea benchi na kupeleka msiba Jang'ombe Boys Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Amour Janja atokea benchi na kupeleka msiba Jang'ombe Boys mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/amour-janja-atokea-benchi-na-kupeleka.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Amour Janja atokea benchi na kupeleka msiba Jang'ombe Boys"

Post a Comment