Timu ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) yatinga nusu fainali mashindano ya vyuo vikuu

Timu ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) yatinga nusu fainali mashindano ya vyuo vikuu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) yatinga nusu fainali mashindano ya vyuo vikuu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Timu ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) yatinga nusu fainali mashindano ya vyuo vikuu
kiungo : Timu ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) yatinga nusu fainali mashindano ya vyuo vikuu

soma pia


Timu ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) yatinga nusu fainali mashindano ya vyuo vikuu

Na: Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.

Timu ya soka ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) leo imetinga hatua ya nusu fainali kwenye Mashindano ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar baada ya kushinda penalty 1-0 dhidi ya SUMAIT kufuatia mchezo huo kuendelezwa mchana wa leo kwenye dimba la Amaan.

Mchezo huo ni muendelezo kufuatia jana kutoka sare ya 2-2 ndani ya dakika ya 90 katika uwanja wa Fuoni kisha kupigiana mikwaju ya penalti 6 na kutoka sare ya 5-5 kufuatia kila timu kukosa penalti1 na kupata 5.

Pambano likalazimika kulazwa jana na kuendelezwa leo kwa mikwaju ya penalti na iliendelea penalti moja moja kwa kila timu ambapo SUMAIT walikosa na IPA wakapata, hivyo IPA wametinga nusu fainali kwa ushindi wa jumla ya penalti 6-5.

Nusu fainali ya Mashindano hayo zitapigwa kesho majira ya saa 10:00 za jioni katika Viwanja Viwili tofauti.

Katika uwanja wa ZU Tunguu watasukumana kati ya Chuo cha Afya Mbweni dhidi ya IPA, na katika uwanja wa Fuoni ZU mabingwa watetezi watakipiga na ZIFA ambao ni makamo bingwa watetezi.


Hivyo makala Timu ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) yatinga nusu fainali mashindano ya vyuo vikuu

yaani makala yote Timu ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) yatinga nusu fainali mashindano ya vyuo vikuu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Timu ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) yatinga nusu fainali mashindano ya vyuo vikuu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/05/timu-ya-chuo-cha-utawala-wa-umma.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Timu ya Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar (IPA) yatinga nusu fainali mashindano ya vyuo vikuu"

Post a Comment