ZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023

ZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023
kiungo : ZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023

soma pia


ZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023

Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar 

Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman amesema pamoja na mafanikio makubwa katika kupambana na Malari Zanzibar, bado shehia tano zinaendelea kutoa wagonjwa wa maradhi hayo zaidi ya asilimia tano.

Akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya siku ya Malaria Dunia katika ukumibi wa mikutano wa Wizara ya Afya Mnazimmoja, amezitaja shehia hizo kuwa ni Tumbatu Jongowe, Miwani, Micheweni, Chukwani na Kiwengwa.

Hata hivyo amesema maambukizi ya malaria katika maeneo hayo yanasababishwa na wasafiri wanaoingia na kutoaka nje ya Zanzibar mara kwa mara ambapo mwaka jana asilimia 55 ya wagonjwa waliogundulika walikuwa na tabia hiyo.
Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt, Fadhil Mohd Abdalla akimkaribisha Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman kuzungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya siku ya Malaria Duniani katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar. 
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Bi. Harusi Said Suleiman akizunguza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya siku ya Malaria Dunia katika ukumibi wa mikutano wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar. 
Mwandishi wa habari wa ITV/Radio One Farouk Karim akiuliza swali katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kwa mkutano wa waandishi wa habari katika Wizara ya Afya Mnazimmoja. 
Meneja Kitengo cha Kumaliza Malaria Zanzibar Mwinyi Issa Khamis akijibu maswali ya waandishi wa habari katika maadhimisho ya siku ya malaria yaliyoadhimishwa kwa mkutano wa waandishi wa habari Wizara ya Afya Zanzibar .Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar. 




Hivyo makala ZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023

yaani makala yote ZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/zanzibar-yajiandaa-kumaliza-kabisa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZANZIBAR YAJIANDAA KUMALIZA KABISA MALARIA 2023"

Post a Comment