WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA SERIKALI

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA SERIKALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA SERIKALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA SERIKALI
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA SERIKALI

soma pia


WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA SERIKALI

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watumishi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) wakati alipotembelea banda la benki hiyo kwenye maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali aliyoyafungua kwenye uwanja wa Mashujaa mjni Dodoma  
 Waziri Mkuu, Kassim majaliwa akizungumza na wanachama wa kikundi cha Juhudi kinachojishughulisha na usindikaji vyakula kabla ya kufungua maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kwenye uwanja wa  Mashujaa mjini Dodoma 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikilza Bi. Evelyne  Mandenje amabaye ni mmoja wa wajasiriamali walionufaika na mikopo inayotolewa na Benki ya TIB wakati alipotembelea banda la wasindikaji vyakula kabla ya kufungua Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma
 Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira  na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama  wakijadili jambo katika maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi  ya Serikali yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma Aprili 28, 2017. Kulia ni Afisa Mwandamizi wa Fedha wa  Benki ya TIB, Kenneth Lusesa.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma, Bw. Godwin Kunambi (wapili kushoto)  hundi ya Shilingi 1, 469, 358,0 00/= kwa ajili ya vijana kabla ya kufungua maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kwenye uwanja wa mashujaa mjini Dodoma Aprili 18, 2017.  Wanne kushoto ni Wziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni Naibu Wziri wake, Anthony Mavunde. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini , Christina Mndeme na watatu kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza la  Taifa wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Beng Issa.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na  Mawasiliano wa Benki ya TPB, Noves Moses (kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Moshingi ( wapili kulia) cheti maalum cha kushiriki Maonyesho ya Mifuko ya Uwezeshaji Wananchi ya Serikali kabla ya kufungu maonyesho hayo kwenye uwanja wa Mashujaa mjni Dodoma Aprili 18, 2017. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama.





Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA SERIKALI

yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA SERIKALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-afungua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA MIFUKO YA UWEZESHAJI YA SERIKALI"

Post a Comment