title : UZINDUZI WA UHAMASISHAJI UCHANGIAJI WA MADAWATI
kiungo : UZINDUZI WA UHAMASISHAJI UCHANGIAJI WA MADAWATI
UZINDUZI WA UHAMASISHAJI UCHANGIAJI WA MADAWATI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnanzo Mmoja Mjini Zanzibar katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnanzo Mmoja Mjini Zanzibar katika Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika Viwanja vya Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnanzo Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Utumishi wa Umma na Utawala Bora pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati Mhe.Haroun Ali Suleiman wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Elimu Bila Malipo Mhe.Riziki Pembe Juma pia Makamo pia Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Uchangiaji madawati wakati wa Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika
Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika
Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar.
Baadhi ya watendaji wakuu wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika
Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Naibu Katibu Wakuu wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika
Uzinduzi wa Uhamasishaji Uchangiaji wa Madawati kwa ajili ya Skuli za Msingi na Sekondari za Zanzibar katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Zanzibnar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ikulu.] 22/04/2017.
Hivyo makala UZINDUZI WA UHAMASISHAJI UCHANGIAJI WA MADAWATI
yaani makala yote UZINDUZI WA UHAMASISHAJI UCHANGIAJI WA MADAWATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA UHAMASISHAJI UCHANGIAJI WA MADAWATI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/uzinduzi-wa-uhamasishaji-uchangiaji-wa_22.html
0 Response to "UZINDUZI WA UHAMASISHAJI UCHANGIAJI WA MADAWATI"
Post a Comment