MISRI KUWEKEZA VIWANDA VYA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NCHINI

MISRI KUWEKEZA VIWANDA VYA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NCHINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MISRI KUWEKEZA VIWANDA VYA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MISRI KUWEKEZA VIWANDA VYA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NCHINI
kiungo : MISRI KUWEKEZA VIWANDA VYA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NCHINI

soma pia


MISRI KUWEKEZA VIWANDA VYA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NCHINI


unnamed
Na. Catherine Sungura, WAMJW              
Ujumbe wa wawekezaji toka nchini Misri wamewasili nchini hapa na kufanya mazungumzo na serikali ya Tanzania kwa nia ya kujenga  viwanda vya dawa za binadamu zikiwemo za majimaji pamoja na zile za antibiotic.

Ujumbe huo ulikutana jana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,wazee na Watoto,Ummy Mwalimu  pamoja na wawakilishi toka wizara Viwanda,Biashara na Uwekezaji na Kituo cha Uwekezaji cha Taifa (TIC) kwenye ofisi ndogo ya wizara ya afya,maendeleo ya jamii,jinsia,wazee na watoto iliyopo jijini Dar es Salaam
Ujumbe huo ulisema kuwa kiwanda walichokusudia kujenga nchini hapa kitazalisha  dawa za majimaji yaani “IV Fluids” pamoja na “antiobiotics” za aina mbalimbali  ikiwemo “Paracetamol IV” na dawa za kutibu Malaria
Aidha, walisema lengo lao ni kujenga kiwanda kikubwa ambacho kitakuwa na uwezo wa kuzalisha dawa ambazo zitawahudumia watanzania pamoja na nchi za Afrika Mashariki na ya kati.
Katika mazungumzo hayo,wawekezaji hao pia wanatarajia kusaidia Tanzania katika uzalishaji wa chanjo ya ugonjwa wa homa ya Ini (Hepatics B na C ).
Kwa upande wake Waziri Ummy amewaahidi wawekezaji hao kuwasaidia katika mipango ya ujenzi huo na kutoa ushirikiano wa dhati katika kufanikisha viwanda hivyo vinajenga nchini kwa muda uliopangwa.
“naelekeza kwa taasisi zote zitakazoguswa na uanzishwaji wa viwanda hivi watoe ushirikiano wa hali ya juu ili lengo hili lifikiwe,soko la dawa hapa nchini lipo naomba niwahakikishie hili”alisema waziri Ummy.
Waziri Ummy aliwaomba wawekezaji hao kuharakisha ujenzi wa viwanda huo na kujengwa ndani ya miezi kumi na nane kama walivyoahidi ili watanzania waanze kunufaika mapema.


Hivyo makala MISRI KUWEKEZA VIWANDA VYA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NCHINI

yaani makala yote MISRI KUWEKEZA VIWANDA VYA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MISRI KUWEKEZA VIWANDA VYA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NCHINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/misri-kuwekeza-viwanda-vya-kutengeneza_22.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MISRI KUWEKEZA VIWANDA VYA KUTENGENEZA DAWA ZA BINADAMU NCHINI"

Post a Comment