BANDA: NAJUTIA KOSA LA KUMPIGA KAVILA

BANDA: NAJUTIA KOSA LA KUMPIGA KAVILA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BANDA: NAJUTIA KOSA LA KUMPIGA KAVILA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BANDA: NAJUTIA KOSA LA KUMPIGA KAVILA
kiungo : BANDA: NAJUTIA KOSA LA KUMPIGA KAVILA

soma pia


BANDA: NAJUTIA KOSA LA KUMPIGA KAVILA


banda_kavila
Baada ya Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumfungia mechi mbili beki wa Simba, Abdi Banda ambapo tayari adhabu hiyo ameshaitumikia, beki huyo amesema hatarudia tena kosa hilo.
Aprili 2, mwaka huu, Banda aliingia matatizoni kwa kumpiga ngumi nahodha na beki wa Kagera Sugar, George Kavila kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba wakati timu hizo zikipambana.
Banda alipelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu kwa kosa hilo la kumpiga Kavila na kuadhibiwa kwa adhabu ambayo alishaitumikia kwani alisimamishwa kucheza mechi yoyote hadi suala lake litakaposhughulikiwa.
Akizungumza Banda alisema: “Namshukuru Mungu suala langu limeisha, nimekoma na kuna kitu nimejifunza maana nilijiona mkosefu kwa kujadiliwa na watu wengi.
“Sitarudia tena kitendo kama kile licha ya mchezo wa soka kuwa na majaribu mengi ambayo yanaweza kukufanya uchukue uamuzi wowote ule, nimejifunza na kuanzia sasa mimi ni mtu mwema.
 “Kusimamishwa mechi mbili hakukuniathiri kwa kuwa mimi ni mchezaji mkubwa ila ninachokiangalia hivi sasa ni kuisaidia timu yangu iweze kutwaa ubingwa.”
Hata hivyo, kanuni za ligi kuu zinaweka wazi kwamba mchezaji anayepigana au kupiga uwanjani anafungiwa kucheza mechi tatu au zaidi, habari kutoka kwenye kamati hiyo zinasema Banda aliomba msamaha.
“Pia tumeona Banda ni mtu muhimu katika kikosi cha Taifa Stars ambacho kina mechi hivi karibuni ndiyo maana ikawa hivi,” alisema mmoja wa maofisa wa TFF.


Hivyo makala BANDA: NAJUTIA KOSA LA KUMPIGA KAVILA

yaani makala yote BANDA: NAJUTIA KOSA LA KUMPIGA KAVILA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BANDA: NAJUTIA KOSA LA KUMPIGA KAVILA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/banda-najutia-kosa-la-kumpiga-kavila.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BANDA: NAJUTIA KOSA LA KUMPIGA KAVILA"

Post a Comment