SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA

SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA
kiungo : SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA

soma pia


SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA

Waheshimiwa Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Miundombinu kutoka Bunge hilo wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati)akizungumza katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma, Wabunge hao walikuja kubadilishana uzoefu na kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Waheshimiwa Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Miundombinu kutoka Bunge hilo waliokuja kubadilishana uzoefu na kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu, katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia)akimkabidhi kitabu chenye Sheria Mbali mbali za Bunge Mhe. Douglas Syakalima (wa pili kushoto), ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya Miundombinu na Kiongozi wa Msafara wa kutoka Bunge hilo, Wabunge hao wamekuja kubadilishana uzoefu na kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Miundombinu Mhe. Prof. Norman Sigala King.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kaunda suti nyeusi katikati)akipiga picha ya pamoja na Waheshimiwa Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Miundombinu kutoka Bunge hilo waliokuja kubadilishana uzoefu na kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiongozwa na Mhe. Douglas Syakalima, ambae ni Mwenyekiti wa Kamati na Kiongozi wa Msafara/Ujumbe huo katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Prof. Norman Sigala King akizungumza na Waheshimiwa Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Miundombinu kutoka Bunge hilo waliokuja kubadilishana uzoefu na kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu, katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).


Hivyo makala SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA

yaani makala yote SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/spika-wa-bunge-atembelewa-na-wabunge.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA ZAMBIA"

Post a Comment