Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa JKCI na BENJAMIN MKAPA (BMH) waanza uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo

Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa JKCI na BENJAMIN MKAPA (BMH) waanza uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa JKCI na BENJAMIN MKAPA (BMH) waanza uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa JKCI na BENJAMIN MKAPA (BMH) waanza uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo
kiungo : Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa JKCI na BENJAMIN MKAPA (BMH) waanza uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo

soma pia


Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa JKCI na BENJAMIN MKAPA (BMH) waanza uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo



Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma wakimfanyia mgonjwa uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo (coronary angiogram) kwa kutumia mtambo wa Cathlab. Mtambo huo wa Cathlab ambao ni maabara ya uchunguzi na matibabu ya mishipa ya moyo umeanza kufanya kazi kwa mara ya kwanza leo na kuweza kutoa huduma kwa wagonjwa watano.
Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumaliza kufanya uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo (coronary angiogram) kwa mgonjwa wa kwanza kwa kutumia mtambo wa Cathlab. Mtambo huo wa Cathlab ambao ni maabara ya uchunguzi na matibabu ya mishipa ya moyo umeanza kufanya kazi leo na kuweza kutoa huduma kwa wagonjwa watano.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwafundisha wataalamu wa afya wa Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma kuhusu madhara ya moyo kushindwa kufanya kazi (Heart Failure) kabla ya kuanza kwa uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo (coronary angiogram) kwa wagonjwa kupitia mtambo wa Cathlab. Mtambo huo wa Cathlab ambao ni maabara ya uchunguzi na matibabu ya mishipa ya moyo umeanza kufanya kazi leo na kuweza kutoa huduma kwa wagonjwa watano.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma pamoja na timu ya wataalamu wa Taasisi hiyo kwa ajili ya kuanza kutoa huduma ya upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kwa kutumia mtambo wa Cathlab (Catheterization) kupitia tundu dogo linalitobolewa kwenye paja. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa BMH Dkt. Alphonce Chandika.Picha na JKCI


Hivyo makala Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa JKCI na BENJAMIN MKAPA (BMH) waanza uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo

yaani makala yote Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa JKCI na BENJAMIN MKAPA (BMH) waanza uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa JKCI na BENJAMIN MKAPA (BMH) waanza uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/madaktari-bingwa-wa-magonjwa-ya-moyo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo wa JKCI na BENJAMIN MKAPA (BMH) waanza uchunguzi wa mishipa ya damu ya moyo"

Post a Comment