title : Shamsa Ford apasuka uso kisa hiki hapa
kiungo : Shamsa Ford apasuka uso kisa hiki hapa
Shamsa Ford apasuka uso kisa hiki hapa
Msanii wa filamu Shamsa Ford amepokea kichapo Jumanne hii katika harakati za kuamlia ugomvi wa watu ambao haijajulikana moja kwa moja ni nani, na sababu za ugomvi wao ni nini.
Malkia huyo wa filamu amekutwa na mkasa huo ikiwa ni mwezi mmoja toka aibiwe akaunti yake ya Instagram yenye followers zaidi ya milioni 2.
Muigizaji huyo amedai alipigwa ngumi ya uso katika harakati za kutafuta usalama wa watu hao ambao walikuwa wakipigana.
“Jana kwa moyo mmoja nimeenda kuamlia ugomvi watu wasipigane mwisho wa siku nikaambulia Mimi ngumi..HUYU mtu alishiba sana aiseee ngumi ilikuwa nzito sana.. niombeeni ndugu zangu panauma,” aliandika Shamsa Instagram.
Kwa sasa muigizaji anaendelea na matibabu.
Hivyo makala Shamsa Ford apasuka uso kisa hiki hapa
yaani makala yote Shamsa Ford apasuka uso kisa hiki hapa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Shamsa Ford apasuka uso kisa hiki hapa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/shamsa-ford-apasuka-uso-kisa-hiki-hapa.html
0 Response to "Shamsa Ford apasuka uso kisa hiki hapa"
Post a Comment