Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda

Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda
kiungo : Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda

soma pia


Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda


Kesi ya inayomkabili Salum Njwete, maarufu ‘Scorpion’ ya unyang’anyi kwa kutumia silaha imeahirishwa hadi Mei 2 mwaka huu, kufuatia shahidi namba nane kwenye kesi hiyo kushindwa kufika mahakamani hapo.
Kesi hiyo iliahirishwa Jumanne hii na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Flora Haule, kwa kuongozwa na Wakili wa Serikali, Cheses Gavyiole, baada ya Deus Magosa (45), ambaye ni shahidi wa nane upande wa Jamhuri katika kesi hiyo ya kumjeruhi kwa kumtoboa macho Saidi Mrisho, kushindwa kufika mahakamani hapo kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya shinikizo la damu na sukari.
Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga,alisoma maelezo ambapo kuna baadhi shahidi huyo alikiri kuyatoa Polisi na mengine kuyakana na kudai kwamba askari alimchukulia maelezo mara mbili, hatua ambayo iliilazimu mahakama hiyo kuahirisha kusikiliza ushahidi huo hadi Aprili 18 (Jumanne hii).
Inadaiwa kwamba Septemba 6, mwaka huu saa 4 usiku maeneo ya Buguruni Sheli, Wilaya ya Ilala Dar es Salaam, Njwete alimjeruhi Said Mrisho na kumuibia Cheni na fedha.


Hivyo makala Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda

yaani makala yote Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/kesi-ya-scorpion-yapigwa-kalenda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kesi ya Scorpion yapigwa kalenda"

Post a Comment