RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea Sakramenti Takatifu wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Paroko ya Oysterbay DktAdelhelm Meru wakisali baada ya kupokea Sakramenti Takatifu wakati wa  ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp

Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na waumini wakimsikiliza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea na waumini wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli  akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya  ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-ashiriki-ibada-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA PASAKA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment