title : Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.
kiungo : Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.
Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama , wakifuatilia mijadala inayo endelea Bungeni Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Shinyanga.Azza Hamad , Bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mwenye suti nyeusi, akisalimiana na Mbunge wa kuteuliwa, Abdalah Bulembo. kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.
yaani makala yote Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/kutoka-bungeni-leo-jijini-dodoma.html
0 Response to "Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma."
Post a Comment