title : Mvua kubwa za Masika zaleta maafa kisiwani Pemba
kiungo : Mvua kubwa za Masika zaleta maafa kisiwani Pemba
Mvua kubwa za Masika zaleta maafa kisiwani Pemba
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Bibi Salama Mbarouk Khatib, akiwa pamoja na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais na Watendaji wengine, wakiangalia maafa yaliosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea
kunyesha hukoa katika Kijiji cha Kipapo Shehia ya Chonga.
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Bibi Salama Mbarouk Khatib, akiwa pamoja na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais na Watendaji wengine, wakiangalia maafa yaliosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea
kunyesha hukoa katika Kijiji cha Kipapo Shehia ya Chonga.
Miongoni mwa Nyumba zilizoathirika kufuatia mvua kubwa zinazonyesha Kisiwani Pemba.
Baadhi ya vitu mbali mbali vikiwa vimewekwa pahala pamoja baada ya Nyumba kuingia maji huko katika kijiji cha Kipapo , Shehia ya Chonga kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha Kisiwani Pemba.
Daraja lililokatika kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha Nyumba zaidi ya 13 kuathirika na nyengine kuanguka.
Msaidizi wa makamo wa pili wa Rais Pemba, Amran Massoud Amran,akionyesha Daraja lilivyoathirika na mvua hiyo na kusababisha gari zinazotoka Mgelema kwenda Chake Chake kusitisha safari yake hapo.
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, akikaguwa baadhi ya maeneo yaliothirika na mvua huko katika kijiji cha Kipapo shehia ya Chonga Pemba.
Picha na Marzouk Khamis -Maelezo -Pemba.
Hivyo makala Mvua kubwa za Masika zaleta maafa kisiwani Pemba
yaani makala yote Mvua kubwa za Masika zaleta maafa kisiwani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mvua kubwa za Masika zaleta maafa kisiwani Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/mvua-kubwa-za-masika-zaleta-maafa.html
0 Response to "Mvua kubwa za Masika zaleta maafa kisiwani Pemba"
Post a Comment