MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA

MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA
kiungo : MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA

soma pia


MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA


DSCN8083 
Tanga, MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martin Shighela, amesema vita ya madawaya
kulevya inaendelea hivyo kuviagiza vikosi vya ulinzi na usalama kuhakikisha
inawakamata vinara wa wasafirishaji na wauzaji.
Akizungumza
katika hafla ya fupi ya makabidhiano ya jengo la Afya ya Akili Hospitali ya
Rufaa ya Bombo lililokarabatiwa na Kituo cha Tanga International Comperence
Centre (TICC), Shighela alisema vita ya madawa itakuwa endelevu.
Alisema
vijana wengi wamekuwa wakiathirika na matumizi ya madawa ya kulevya na Taifa
kukosa nguvu kazi ya kuleta maendeleo na kuviagiza vyombo vya  ulinzi na usalama kuhakikisha Tanga hakuna
njia ya upitishaji.
“Kuna
wagonjwa wa akili kutokana na maumbile yao lakini kuna wagonjwa wengine wa
akili wa kujitakia ambao sababu zake ni matumizi ya madawa ya kulevya” alisema
Shighela na kuongeza
“Ili kuwaokoa
vijana wetu na kupunguza nguvu kazi naviagiza vyombo vya ulinzi na usalama
kuongeza nguvu ya mapambano ya madawa ya kulevya” alisema
Kwa upande
wake Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Karstand, amewataka watumishi wa
hospitali ya Bombo kulitunza jengo hilo kama ilivyo matumizi yake.
Alisema
Serikali ya Norway itaisaidia Tanzania katika Nyanja mbalimbali za kijamii
ikiwemo Afya, elimu,  Mazingira pamoja na
wagonjwa wa Afya ya  Akili.
“Niuombe
uongozi wa hospitali ya Bombo kulitunza jengo hili kwa kutumika matumizi yake
kama ilivyokusudiwa, Norway itaisaidia Tanzania kila ambapo kunahitajika
msaada” alisema
Nae Mganga
Mkuu wa Mkoa, Asha Mahita, alisema awali wamekuwa wakikumbana na changamoto
mbalimbali ikiwemo kukosa uwezo wa kuwasafirisha wagonjwa kwenda vituo
vinavyotoa huduma za Afya ya akili.
Aliwataka
wafadhili wengine kuiga mfano wa Norway kuisadia hospitali hiyo kutokana na
changamoto ambazo imekuwa ikabiliana nazo.
                                                 





Mkuu wa Mkoa wa Tanga,
Martin Shighela (katikati), Balozi wa Norway wa kwanza kulia, Hanne-Marie
Karstand na Mganga Mkuu wa Mkoa, Asha Mahita (kushoto) wakifungua jengo la Afya
ya Akili hospitali ya Rufaa ya Bombo lililokarabatiwa na kituo cha Tanga
International Comperence Centre Tanga




Hivyo makala MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA

yaani makala yote MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/mkuu-wa-mkoa-wa-tanga-akoleza-vita-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUU WA MKOA WA TANGA AKOLEZA VITA YA MADAWA YA KULEVYA"

Post a Comment