MASHAMBA YA MPUNGA YA MBARALI NA KAPUNGA YAPEWA ONYO KALI NA KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MTO RUAHA.

MASHAMBA YA MPUNGA YA MBARALI NA KAPUNGA YAPEWA ONYO KALI NA KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MTO RUAHA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MASHAMBA YA MPUNGA YA MBARALI NA KAPUNGA YAPEWA ONYO KALI NA KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MTO RUAHA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MASHAMBA YA MPUNGA YA MBARALI NA KAPUNGA YAPEWA ONYO KALI NA KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MTO RUAHA.
kiungo : MASHAMBA YA MPUNGA YA MBARALI NA KAPUNGA YAPEWA ONYO KALI NA KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MTO RUAHA.

soma pia


MASHAMBA YA MPUNGA YA MBARALI NA KAPUNGA YAPEWA ONYO KALI NA KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MTO RUAHA.


Kampuni inayojishughukisha na kilimo cha Mpunga ijulikanayo kwa jina la  Highland Estates iliyopo wilayani Mbarali mkoani Mbeya imepewa agizo na Kikosi kazi cha Kitaifa cha kunusuru ikolojia ya mto Ruaha kilichoko mkoa wa Mbeya kuwa ndani ya mwezi mmoja wahakikikishe wamesafisha mifereji yote inayozunguka ndani ya shamba lao  kwa kujenga upya miundombinu inayopoteza maji ,  kung'oa magugu maji na nyasi zote zilizoota katika mifereji ya matoleo ya maji ndani ya shamba hilo  kwani inazuia maji kupita kwa urahisi kuelekea Mto ruaha kama inavyotakiwa. Pia wametakiwa kuanza taratibu za kupatiwa cheti cha ukaguzi wa athari za mazingira kitoka Baraza lau Usimamizi wa mazingira (NEMC).

Akiongea katika ziara hiyo Mwenyekiti wa kikosi kazi hiko  Bwana Richard Muyungi alisema Uongozi wa shamba hilo wafanye juhudi za ziada kutunza mazingira yote yanayozunguka shamba hilo na kuhakikisha maji yanapita kwa urahisi katika mifereji ya matoleo ya kupeleka maji mto Ruaha Mkuu. "Tunawapa mwezi mmoja  mfanye ukarabati na mrekebishe hali ya usafi katika mifereji  ya shamba lenu baada ya muda huo tutarudi kwa ajili ya kukagua." Alisema Muyungi

Kikosi kazi hiko pia kilitembelea katika shamba la Mwekezaji lililopo wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya lijulikanalo kama Kapunga Rice Project. Kikosi kiliona matumizi mabaya ya maji kwa  kuyachepusha bila vibali  kunakofanywa na Wananchi walio maeneo ya jirani. Badala  ya mifereji ya maji iliyopo shambani hapo kurudisha maji  mto  Ruaha Mkuu. 

Maeneo mengi ya  mifereji ya kutolea maji katika shamba hilo na kupeleka mtoni yamezibwa kwa viroba na udongo ili maji yasiende mto Ruaha. Kikosi kazi kilielekeza  Kamuni michepusho yote ya maji ifungwe mara moja na Kampuni isimamie na kugharamia shughuli hiyo.  Maagizo hayo yote yametakiwa kukamilika mpaka siku ya jumanne ya tarehe 25 Aprili 2017.

Kikosi kazi hiko cha Kitaifa kilichopo Mkoani Mbeya bado kipo katika ziara ya kutembelea sehemu mbalimbali ili kujua, kufahamu, kuona na kupata maoni mbalimbali ya Wananchi ni nini haswa kinachosababisha maji kutokuingia katika mto Ruaha ili kutoa suluhisho la kudumu.


  Mfereji wa kutolea maji  kupeleka mto Ruaha Mkuu ulioko ndani ya Shamba la Mpunga la Kapunga ukiwa umejengewa tuta ili kutopitisha maji hayo kuelkea mto Ruaha kama inavyotakiwa
Magugu na nyasi zikionekana katika mfereji wa kupitishia maji  katika shamba la Mbarali ambapo magugu hayo huzuia  maji  kutopita kwa urahisi.
Mwenyekiti wa kikosi kazi cha Kitaiaf cha kunusuru ikolojia ya Mto Ruaha  Bwana Ricahrd Muyungi akitoa maelekezo na maagizo kwa Wamiliki wa mashamba ya mpunga ya Highland Estates juu ya wanachotakiwa kufanya baada ya shamba alo kukutwa chafu sana na mifereji yao yote imejaa magugu maji.






Hivyo makala MASHAMBA YA MPUNGA YA MBARALI NA KAPUNGA YAPEWA ONYO KALI NA KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MTO RUAHA.

yaani makala yote MASHAMBA YA MPUNGA YA MBARALI NA KAPUNGA YAPEWA ONYO KALI NA KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MTO RUAHA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MASHAMBA YA MPUNGA YA MBARALI NA KAPUNGA YAPEWA ONYO KALI NA KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MTO RUAHA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/mashamba-ya-mpunga-ya-mbarali-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MASHAMBA YA MPUNGA YA MBARALI NA KAPUNGA YAPEWA ONYO KALI NA KIKOSI KAZI CHA KITAIFA CHA MTO RUAHA."

Post a Comment