title : Waziri Kairuki afanya ziara ya kutembelea GST
kiungo : Waziri Kairuki afanya ziara ya kutembelea GST
Waziri Kairuki afanya ziara ya kutembelea GST
Mtalaam wa upimaji miamba kwa njia ya umeme, Octivian Minja wa Taasisi ya jiolojia na utafiti madini (GST) mwenye shati jekundu akimuelezea Waziri wa Madini, Angella Kairuki juu ya upimaji wa miamba kwa njia ya umeme kwa lengo la kujua aina ya usumaku uliopo katika miamba, waziri Kairuki tarehe 16 Mei 2018, alifanya ziara ya kutembelea GST ili kuangalia kazi mbalimbali zifanywazo na taasisi hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisis ya Jiolojia na Utafiti Madini (GST) Prof. Abdukarim Mruma alikimuelezea waziri wa Madini, Angella Kairuki juu madini ya Ulanga , alipotembea katika jumba la makumbusho ya miamba na madini iliyopo GST.
Waziri wa Madini, Angella Jasmine Kairuki pamoja na Manaibu waziri wa wizara hiyo, Dotto Biteko na Stanslaus Nyongo , na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini (GST) ,wakielekea katika ofisi nyingine kwa ajili ya kutembelea baada ya kupata maelezo juu ya uchunguzi , upimaji wa miamba kutoka kwa watalaam wa Idara ya Jiofikia na Jiolojia jana tarehe 16 Mei 2018 , viongozi hao walifanya ziara ya kikazi katika Taasisi ya Jiolojia na utafiti wa Madini kwa lengo la kuona kazi mbalimbali zifanywazo na taasisi hiyo.
Hivyo makala Waziri Kairuki afanya ziara ya kutembelea GST
yaani makala yote Waziri Kairuki afanya ziara ya kutembelea GST Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Kairuki afanya ziara ya kutembelea GST mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/05/waziri-kairuki-afanya-ziara-ya.html
0 Response to "Waziri Kairuki afanya ziara ya kutembelea GST"
Post a Comment