Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari

Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari
kiungo : Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari

soma pia


Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari


KIJANA mmoja aliyejitambulisha kwa jina la James John mkazi wa Mchikichini jijini Dar es Salaam ameonakana kuwashangaza watu wengi wa maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam baada ya kuwa kivutio kikubwa kwao alipoonekana  akitafuna vitu vya ajabu vikiwemo vipande vya chupa na misumari.

Mtandao huu ulipata fursa ya kuzungumza na kijana huyo ambaye alieleza kuwa yeye ni mzaliwa wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kogoma na alikuja jijini Dar es Salaam kwa lengo la kupanua uwezo wa kipaji chake cha sanaa.

Ameeleza kuwa katika sanaa yake anao uwezo mkubwa wa kufanya vitu vya ajabu vinavyoweza kushangaza watu kiasi cha  kutokuamini kile anachokifanya.  Miongoni mwa matukio yaliyoshuhudiwa na kamera yetu ni  kutafuna vipande vya chupa, kulalia kibao chenye misumari bila kumchoma na kutafuna misumari.

Mbali na hayo,  kijana huyo ameeleza kuwa pia anayo staili ya kubadilisha mkanda kuwa nyoka na kunywa maji lita 20 papohapo.

Katika kuonyesha shoo yake,  hutoza kiasi cha Sh. 100 na kuendelea kulingana na wananchi wanachomchangia.


Hivyo makala Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari

yaani makala yote Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/kutana-na-kijana-anayetafuna-chupa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari"

Post a Comment