Hiki ndicho alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake!

Hiki ndicho alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake! - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hiki ndicho alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake!, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hiki ndicho alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake!
kiungo : Hiki ndicho alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake!

soma pia


Hiki ndicho alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake!


Mwanamuziki ambaye amekuja kwa kasi kwenye tasnia ya, Harmorappa au muite Kiboko ya Mabishoo leo amewaacha midomo wazi watu wengi kufuatia jibu lake alilolitoa alipoulizwa kuwa yeye ni mwanaume wa aina gani.

Akiwa katika kipindi cha Kikaangoni kinachorushwa na EATV, Harmorappa aliulizwa swali lililotumwa na shabiki aliyekuwa akifuatilia kipindi hicho ambalo liliuliza, “Wewe ni mwanaume wa aina gani?”  na akijibu swali hilo alisema, “Mimi ni strong woman.” 

Jibu hilo limewashangaza wengi kwa sababu Harmorappa ni mwanaume na hivyo wengi wameshindwa kuelewa kama alielewa swali liliuliza nini au alijibu kama utani.

Alipoulizwa kama anafahamu lugha ya Kiingereza, Harmorappa alisema anaielewa vizuri lakini tatizo ni kwenye kuongea.

“LUGHA YA KIINGEREZA NAIFAHAMU VIZURI LAKINI ILE KUONGEA ONGEA NDIYO SIWEZI” 

Aidha, amesema kuwa kwa sasa hana mpango wa kujiendeleza kimasomo hasa kwenda chuo labda ajifunze zaidi lugha ya Kiingereza. Kuhusu suala la kujiunga WCB, alisema, “Siwezi kujiunga WCB hata kwa shilingi ngapi, Sizuzuki na hela, maana kama ni hela hata mimi mwenyewe ninazo.”


Hivyo makala Hiki ndicho alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake!

yaani makala yote Hiki ndicho alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hiki ndicho alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake! mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/hiki-ndicho-alichojibu-harmorapa-kuhusu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Hiki ndicho alichojibu Harmorapa kuhusu jinsia yake!"

Post a Comment