JPM MGENI RASMI KONGAMANO LA MAADILI LILILO ANDALIWA NA BAKWATA

JPM MGENI RASMI KONGAMANO LA MAADILI LILILO ANDALIWA NA BAKWATA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JPM MGENI RASMI KONGAMANO LA MAADILI LILILO ANDALIWA NA BAKWATA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JPM MGENI RASMI KONGAMANO LA MAADILI LILILO ANDALIWA NA BAKWATA
kiungo : JPM MGENI RASMI KONGAMANO LA MAADILI LILILO ANDALIWA NA BAKWATA

soma pia


JPM MGENI RASMI KONGAMANO LA MAADILI LILILO ANDALIWA NA BAKWATA

Image result for picha za shekh mataka wa bakwata

Na Maria Kaira
mwambawahabari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa kongamano la mmomonyoko wa maadili katika jamii, linalo tarajiwa fanyika April 24 mwaka huu katika ukumbi wa mwalimu Nyerere Jiji Dar es salaam,kuanzia Majira ya Saa 3 likiwa  na lengo la kurejesha maadili katika jamii.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa Mwenyekiti wa halmashaul kuu Sheikh Hamis Mataka amesema kongamono hilo limeandaliwa na Baraza kuu la waislamu (BAKWATA)na litakuwa la siku moja .

Pia Sheikh Mataka amesema katika kongamano hilo litaudhuliwa na masheikh wa mikoa mbalimbali,masheikh kutoka taasisi mbalimbali, mabalozi wa nchi mbalimbali, wakuu wa vyombo vya usalama pamoja na wananchi wote.

"Jamii yoyote inayotaka kuendelea lazima iwe na maadili mema unapoona Jamii inasumbuliwa na ulevi, wizi madawa ya kulevya hiyo ni sehemu moja wapo ya mmomonyoko wa maadili katika jamii haiwezekani Binadamu mwenzio anapata ajali unaanza kumsachi na kumwibia badala ya kumuokoa" amesema

Aidha sheikh Mataka amesema katika  kongamano hilo linatarajia kufungwa na Rais wa Zanzibar Dr. Ally Mohammed Shein.

"Kongamono  hili litakuwa na masheikh watatu ambao wata
wasilisha mada mbalimbali akiwemo sheikh Suleiman Kilemile ambaye ni Mwenyekiti wa umoja wanazuoni wa kiislam yeye atazungumzia mmomonyoko wa maadili katika jamii, katibu wa mufti zanzibar sheikh Fadhili atazungumzia umuhimu wa ujenzi wa familia na jamii salama, Pia kutakuepo na Dkt atakayezungumza juu ya madawa ya kulevya na madhara yake pamoja na Takwimu kwa ujumla zinasemaje" amesema


Hivyo makala JPM MGENI RASMI KONGAMANO LA MAADILI LILILO ANDALIWA NA BAKWATA

yaani makala yote JPM MGENI RASMI KONGAMANO LA MAADILI LILILO ANDALIWA NA BAKWATA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JPM MGENI RASMI KONGAMANO LA MAADILI LILILO ANDALIWA NA BAKWATA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/jpm-mgeni-rasmi-kongamano-la-maadili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JPM MGENI RASMI KONGAMANO LA MAADILI LILILO ANDALIWA NA BAKWATA"

Post a Comment