DORIS MOLLEL FOUNDATION, CBA BANK WAKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO

DORIS MOLLEL FOUNDATION, CBA BANK WAKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DORIS MOLLEL FOUNDATION, CBA BANK WAKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DORIS MOLLEL FOUNDATION, CBA BANK WAKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO
kiungo : DORIS MOLLEL FOUNDATION, CBA BANK WAKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO

soma pia


DORIS MOLLEL FOUNDATION, CBA BANK WAKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO

Mkuu wa Wilaya Morogoro, Regina Chonjo (wa pili kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris W. Mollel (wa pili kulia), baada ya kupokea msaada ya vitanda vitatu vya kujifungulia wakinamama pamoja na mashine maalum za kuwasaidia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati "Njiti" kupumua, Makabidhiano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Wengine pichani ni Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Simon Tarimo (kulia), Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo, Dkt. Ritha Liamue (kushoto), pamoja na Meneja Masoko wa Benki ya CBA, Solomon Kawishe ambao ndio waliofadhili upatikanaji wa vifaa hiyo.
Mkuu wa Wilaya Morogoro, Regina Chonjo (wa pili kushoto) akikabidhi kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Simon Tarimo (wa tatu kulia) sehemu ya vifaa tiba (vitanda vitatu vya kujufungulia wakina mama pamoja na mashine maalum za kuwasaidia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati "Njiti" kupumua), vilivyotolewa na Taasisi ya Doris Mollel kwa ufadhili wa Benki ya CBA kwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, mwishoni mwa wiki. Wengine pichani kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris W. Mollel, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Morogoro, Dkt. Ritha Liamue, Meneja Masoko wa Benki ya CBA, Solomon Kawishe na kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Ruth John.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Ruth John, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris W. Mollel pamoja na Meneja Masoko wa Benki ya CBA, Solomon Kawishe wakipanda mti katika eneo la Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, baada ya kukabidhi sehemu ya vifaa tiba (vitanda vitatu vya kujufungulia wakina mama pamoja na mashine maalum za kuwasaidia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati "Njiti" kupumua), vilivyotolewa na Taasisi ya Doris Mollel kwa ufadhili wa Benki ya CBA kwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris W. Mollel kwa pamoja na Meneja Masoko wa Benki ya CBA, Solomon Kawishe wakimsikiliza mmoja wa wakinamama waliojifungua watoto kabla ya wakati "Njiti" katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, walipotembelea wadi hiyo kutoa zawadi za Sikukuu ya Pasaka kwa wakinamama hao, baada ya kukabidhi sehemu ya vifaa tiba (vitanda vitatu vya kujufungulia wakina mama pamoja na mashine maalum za kuwasaidia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati "Njiti" kupumua), vilivyotolewa na Taasisi ya Doris Mollel kwa ufadhili wa Benki ya CBA kwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, mwishoni mwa wiki.


Hivyo makala DORIS MOLLEL FOUNDATION, CBA BANK WAKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO

yaani makala yote DORIS MOLLEL FOUNDATION, CBA BANK WAKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DORIS MOLLEL FOUNDATION, CBA BANK WAKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/04/doris-mollel-foundation-cba-bank.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DORIS MOLLEL FOUNDATION, CBA BANK WAKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO"

Post a Comment