RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA

RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA
kiungo : RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA

soma pia


RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA

 MAJENGO ya Wizara Tatu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar yaliojengwa katika eneo la Gombani Kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake yaliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Magengo Matatu ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilioko katika eneo la Gombani Wilaya ya Chakechake Pemba, kulia Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kufungua majengo ya Wizara Tatu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kushoto Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa na kulia Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Mhe. Maudline Castico na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Khamis Juma Maalim, wakishiriki katika ukataji wa utepe huo wakati hafla ya ufunguzi wa majengo hayo.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri wa Ujenzi wa Majengo Matatu ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg. Mbarouk Juma, wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Majengo hayo eneo la Gombani Pemba.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza mswali wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa majengo hayo katika eneo la Gombani Pemba.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mjenzi wa Majengo ya Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ndg. Khamish Ali Khamis, ( na kushoto Mshauri Elekezi wa Mradi wa Ujenzi huo Ndg. Mbarouk Juma.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Kaimu Afisa Mdhamini Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Pemba Ndg. Hakim Vuai Shein, kulia, wakati akitembelea jingo la Wizara hiyo.(Picha na Ikulu)
 WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdulwawa, akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua rasmin leo kisiwani Pemba katika eneo la Gombani.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mjenzi wa Majengo hayo wakati alitembelea majengo hayo baada ya kuyafungua rasmin leo.(Picha na Ikulu)



Hivyo makala RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA

yaani makala yote RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/05/rais-dkt-shein-afungua-majengo-ya-ofisi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA MAJENGO YA OFISI ZA SMZ PEMBA"

Post a Comment