RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA

soma pia


RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Mbeya, Wabunge, Mawaziri, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA) iliyopo Mwakibete jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa wananchi wa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.

 Mandhhari ya hospitali ya UWATA iliyopo jijini Mbeya ambayo inatoa huduma za afya kwa mkoa wa Mbeya pamoja na nchi jirani za Zambia na Malawi.



  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliofika katika uzinduzi wa Hospitali ya UWATA jijini Mbeya mara baada ya kuizindua.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Inyala wakati akiwa njiani kuelekea Igurusi mkoani Mbeya.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mswiswi wakati akiwa njiani kuelekea Chimala.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Igurusi hawaonekani pichani mara baada ya kuwasili katika eneo hilo akitokea jijini Mbeya.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Chimala Wilayani Mbarali mkoani Mbeya. PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA

yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/05/rais-dkt-magufuli-azindua-hospitali.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA HOSPITALI, AZUNGUMZA NA WANANCHI WA INYALA, IGURUSI, MSWISWI NA CHIMALA WAKATI AKIELEKEA MBARALI MKOANI MBEYA"

Post a Comment