MKUTANO WA SABA WA TAPSEA WAANZA LEO JIJINI ARUSHA

MKUTANO WA SABA WA TAPSEA WAANZA LEO JIJINI ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO WA SABA WA TAPSEA WAANZA LEO JIJINI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO WA SABA WA TAPSEA WAANZA LEO JIJINI ARUSHA
kiungo : MKUTANO WA SABA WA TAPSEA WAANZA LEO JIJINI ARUSHA

soma pia


MKUTANO WA SABA WA TAPSEA WAANZA LEO JIJINI ARUSHA

Wajumbe wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA) wakifatilia mada mbalimbali zinazoendelea kuwasilishwa na wakufunzi kutoka nyanja tofauti katika siku ya kwanza ya Mkutano wao wa saba, unaofanyika kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, jijini Arusha. Kauli mbiu: 'Tutumie muda wetu vizuri kufanyakazi kwa ufanisi na kuleta tija kazini'.
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA), Zuhura Maganga akizungumza jambo katika siku ya kwanza ya Mkutano Mkuu Chama hicho, ulioanza leo kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, jijini Arusha. 
Mhadhiri wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Charles George Magaya akizungumza wakati akiwasilisha mada ya umuhimu wa "Katibu Mahsusi kutunza siri na mzalendo katika kazi na Taifa kwa ujumla" wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA), ulioanza leo kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, jijini Arusha. 
Wakili wa Serikali, Berious Nyasebwa akizungumza wakati akiwasilisha mada yake iliyoelezea "Umuhimu wa Haki za Binadamu na Utawala Bora" wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Makatibu Mahsusi Tanzania (TAPSEA), ulioanza leo kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC, jijini Arusha.



















































Hivyo makala MKUTANO WA SABA WA TAPSEA WAANZA LEO JIJINI ARUSHA

yaani makala yote MKUTANO WA SABA WA TAPSEA WAANZA LEO JIJINI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA SABA WA TAPSEA WAANZA LEO JIJINI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/05/mkutano-wa-saba-wa-tapsea-waanza-leo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MKUTANO WA SABA WA TAPSEA WAANZA LEO JIJINI ARUSHA"

Post a Comment