MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI Mei 3, 2019

MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI Mei 3, 2019 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI Mei 3, 2019, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI Mei 3, 2019
kiungo : MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI Mei 3, 2019

soma pia


MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI Mei 3, 2019

Kesho ni mei 3, ambapo ni siku ya maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani ambapo kila mwaka maadhimisho hayo hufanyika katika sehemu mbali mbali duniani.
Maadhimisho hayo yanafanyika kutokana na umuhimu wa vyombo vya habari katika suala zima la maendeleo ya nchi lakini katika kuimarisha demokrasia Kauli mbiu ya mwaka huu ni Wajibu wa vyombo vya habari katika uchaguzi na demokrasia. Kwa upande wa Zanzibar maadhimisho hayo yanafanyika kwa kuandaliwa kwa pamoja baina ya taasisi mbali mbali za kihabari.
Maadhimisho hayo yatafanyika katika ukumbi wa baraza la sanaa uliopo rahaleo na mgeni rasmi atakuwa ni waziri wa chi ofisi ya makamu wa pili wa rais mheshimiwa Mihayo Juma Nhunga.
Maadhimisho hayo yanakwenda sambamba na juhudi za serikali za kukuza kada ya habari na kuimarisha dhana zima ya utawala bora na weledi na ufanisi katika tasnia ya habari.
Maadhimisho hayo yameratibiwa kwa pamoja na baraza la habari Tanzania, klabu ya waandishi wa habari Zanzibar, chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania , chama cha waandishi wa habari za maendeleo na idara ya habari maelezo.
Majadiliano ya maadhimisho hayo yatalenga katika kukuza kada ya habari pamoja na kuimarisha sekta ya habari hapa nchini Maadhimisho yataanza rasmi saa mbili kamili asubuhi.
Imetolewa na mwenyekiti kamati ya maandalizi Maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani
Dkt. Juma Mohammed Salum.


Hivyo makala MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI Mei 3, 2019

yaani makala yote MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI Mei 3, 2019 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI Mei 3, 2019 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/05/maadhimisho-ya-siku-ya-uhuru-wa-vyombo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI Mei 3, 2019"

Post a Comment