KC,UZALENDO KWANZA KUWAMILIKISHA WASANII ARDHI

KC,UZALENDO KWANZA KUWAMILIKISHA WASANII ARDHI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KC,UZALENDO KWANZA KUWAMILIKISHA WASANII ARDHI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KC,UZALENDO KWANZA KUWAMILIKISHA WASANII ARDHI
kiungo : KC,UZALENDO KWANZA KUWAMILIKISHA WASANII ARDHI

soma pia


KC,UZALENDO KWANZA KUWAMILIKISHA WASANII ARDHI

 Mwenyekiti wa kundi la Uzalendo Kwanza na Mugizaji wa Filamu Nchini, Steve Nyerere akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Makubaliano ya Wasaniii wa kampeni ya uzalendo kwanza na kampuni ya KC Land Development Plan Ltd kuhusu Mpango wao wa kukopeshwa Viwanja kwa gharama nafuu pasipokuwa na riba Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya KC Land Development Plan Ltd,Khalid Mwinyi akitoa maelezo juu ya mradi na Viwanja vitakavyojulikana kama mji wa Wasanii Msaniii wa na Meneja wa Bendi ya Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akieleza ni namna gani bendi yake itakavyotumbuzi siku ya chakula cha pamoja baina ya Wasanii na Kampuni ya KC Land Development Plan Ltd Msanii mkongwe wa Filamu nchini Chick Mchoma akieleza faida za wasanii watakaochukua Viwanja vya Kampuni ya KC Land Development Plan Ltd ambavyo vinalipwa ndani ya miaka miwili kwa gharama nafuu Msanii mMahaurufu wa mvchezo wa Bongo Dar es Salaam, Kuwa Kikumba maharufu kama Dude akieleza nini kama wasanii watakwenda kufanya kuhakikisha kuwa wanamiliki viwanja hivyo  Promota wa Mchezo wa Ngumi ambaye ni Mwanachama wa kundi la Uzalendo kwanza akieleza faida za Viwanja hivyo kwa mabondia ambao wamekuwa wakipata pesa na kufanya anasa pasipo kumiliki ardhi Msanii wa kike wa Siku nyingi Maya akieleza namana wasanii wakike watakavyokwenda kumiliki nyumba zao na kuacha kunyanyasika Wasanii kwa pamoja wakiwa wamesimama kama ishara ya kumkumbuka Mzee Reginald Mengi aliyetutoka usiku wa kuamkia leo.Sehemu ya Waandishi wa habari walioshiriki mkutano huo wakitimiza majukumu yao kama wanavyoonekana pichani



Hivyo makala KC,UZALENDO KWANZA KUWAMILIKISHA WASANII ARDHI

yaani makala yote KC,UZALENDO KWANZA KUWAMILIKISHA WASANII ARDHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KC,UZALENDO KWANZA KUWAMILIKISHA WASANII ARDHI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/05/kcuzalendo-kwanza-kuwamilikisha-wasanii.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KC,UZALENDO KWANZA KUWAMILIKISHA WASANII ARDHI"

Post a Comment