UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WAADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO

UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WAADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WAADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WAADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO
kiungo : UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WAADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO

soma pia


UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WAADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO


Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda akiwahutubia washiriki wa hafla ya kuadhimisha miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyofanyika katika Hoteli ya Leela Palace jijini New Delhi, India tarehe 26 Aprili 2019. Katika hotuba yake, Balozi Luvanda alieleza kuwa, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa kihistoria na wa kupigiwa mfano duniani kote. Pia alisisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na India ambao umedumu kwa miaka 58. 
Mhe. Balozi Luvanda (wa pili kushoto) kwa pamoja na mgeni rasmi Mhe. Shri Sanjiv Arora ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa India anayeshughulikia Masuala ya Kikonseli, Paspoti, Visa na Diaspora wa (kushoto) na wageni waalikwa wakionesha jarida kuhusu miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini India na kuzinduliwa rasmi katika hafla hiyo. 
Mhe. Balozi Luvanda (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mhe. Shri Sanjiv Arora ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa India anayeshughulikia Masuala ya Kikonseli, Pasipoti, Viza na Diaspora wa India wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka 55 ya Muungano. 
Mhe. Balozi Luvanda akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa nchi mbalimbali walioudhuria hafla ya kuadhimisha miaka 55 ya Muungano. 
Mhe. Balozi Luvanda (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania, New Delhi wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka 55 ya Muungano.


Hivyo makala UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WAADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO

yaani makala yote UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WAADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WAADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/ubalozi-wa-tanzania-nchini-india.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UBALOZI WA TANZANIA NCHINI INDIA WAADHIMISHA MIAKA 55 YA MUUNGANO"

Post a Comment