title : Ubalozi wa Kenya wapanda miti kumsherehekea Wangari Maathai
kiungo : Ubalozi wa Kenya wapanda miti kumsherehekea Wangari Maathai
Ubalozi wa Kenya wapanda miti kumsherehekea Wangari Maathai
Wawakilishi kutoka Ubalozi wa Norway na UNDP, Nancy Shedrack na Helge Flaard wakimwagilia mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa mashariki. Tukio hili limefanyika leo wakati wa tafriji fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa. Katikati ni Balozi wa Kenya, Mh Dan Kazungu.
Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mh Dan Kazungu akipanda mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa mashariki. Tukio hili limefanyika leo wakati wa tafriji fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa.
Balozi wa Kenya nchini Tanzania (3 kushoto) na wafanyakazi wa ubalozi huo wakipanda mti kama ishara ya kumsherehekea Profesa Wangari Maathai, mwanaharakati wa mazingira kutoka Africa Mashariki. Tukio hili limefanyika leo wakati wa tafriji fupi iliyoandaliwa na ubalozi wa Kenya na kuhudhuriwa na mabalozi mbalimbali wa nchi za Africa, wawakilishi kutoka sekta binafsi na Umoja wa Mataifa.

Hivyo makala Ubalozi wa Kenya wapanda miti kumsherehekea Wangari Maathai
yaani makala yote Ubalozi wa Kenya wapanda miti kumsherehekea Wangari Maathai Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ubalozi wa Kenya wapanda miti kumsherehekea Wangari Maathai mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/ubalozi-wa-kenya-wapanda-miti.html
0 Response to "Ubalozi wa Kenya wapanda miti kumsherehekea Wangari Maathai"
Post a Comment