Timu ya Villa Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja Yajitoa. - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu ya Villa Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja Yajitoa., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Timu ya Villa Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja Yajitoa.kiungo :
Timu ya Villa Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja Yajitoa.
soma pia
Timu ya Villa Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja Yajitoa.
Na Hawa Ally, ZANZIBAR
UONGOZI wa timu ya Vila United “Mpira Pesa “umeamua kuivunja na kuifuta timu hiyo iliyokuwa ikishiriki ligi daraja la kwanza Kanda ya Unguja kwa kuwatuhumu baadhi ya waamuzi na viongozi wa ZFF kuifanyia hujuma timu hiyo.
Akizungunmza na Waandishi wa habari Rais wa timu hiyo Abdurabi Dau “Manji” alisema baadhi ya waamuzi wanashindwa kuzitumia sheria 17 za mpira kama zilivyo badala yake wamekuwa wakifanya upendeleo kwa baadhi yatimu.
Alisema baadhi ya waamuzi wamekuwa wakifungisha magoli ambayo unaona kabisa sio magoli halali nah ii inatokana na mambo mawili aidha vitendo vya rushwa pamoja na kufanya upendeleo kwa timu hususani zile za vikosi.
Aidha alisema walishapeleka malalamiko yao katika chama cha soka Zanzibar ambacho sasa ni shirikisho lakini hakuna jitihada ambazo zilizowezwa kuchukuliwa badala yake timu hiyo inaendelea kuhujumiwa jambo ambalo wachezaji na hata viongozi hawaliridhiki nalo.
Alisema maaamuzi ya kuivunja timu hiyo hayakuwa ya viongozi tu bali hata wachezaji waliokuwa wakiitumikia timu hiyo walichoshwa na vitendo hivyo ambavyo vinasababisha hata kurejesha nyuma jitihada zao za kuona kama soka ni ajira kama zilivyo ajira nyingine.
“Mpira unauma husususani pale unaoona umeonewa hasa , maana tunatumia pesa nyingi kwa kuhidumia tumu, kusajili wachezaji alafu ukija kukuta mambo hayayunayofanyiwa ya kufungishwa kwa makusudi kwakweli jambo hili tumechoka kulivumilia.”Alisema.
Aidha alisema wachezaji wawili waliwasajili kutokea Tanzania bara ambao ni Shabani Abdalla na Mohmed Abdul wanafanya utaratibu wa kuwarejesha kwao ili wakajiendeleze zaidi na soka kwani viwango vyao ni vyakuridhisha.
Rais huyo wa Vila United alisema kuwa anatarajia kuwasilisha barua kwa shirikisho la soka ZFF na kwa mrajisi juu ya kuifuta na kuivunja timu hiyo na haitakuwepo tena.
Timu hiyo ya Villa United hadi inavunjwa ilikuwa imebakisha mchezo mmoja wa kumaliza msimu na ilikuwa katika nafasi ya 3 na alama 57 katika msimamo wa ligi daraja la Kwanza Kanda ya Unguja.
Hivyo makala Timu ya Villa Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja Yajitoa.
yaani makala yote Timu ya Villa Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja Yajitoa. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Timu ya Villa Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja Yajitoa. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/timu-ya-villa-daraja-la-kwanza-kanda-ya.html
0 Response to "Timu ya Villa Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja Yajitoa."
Post a Comment