Timu ya KMKM Zanzibar Yatangazwa Bingwa Kwa Msimu wa Mwaka 2018 /2019 Ligi Kuu ya Zanzibar Iliofika Tamati Jana Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Timu ya KMKM Zanzibar Yatangazwa Bingwa Kwa Msimu wa Mwaka 2018 /2019 Ligi Kuu ya Zanzibar Iliofika Tamati Jana Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Timu ya KMKM Zanzibar Yatangazwa Bingwa Kwa Msimu wa Mwaka 2018 /2019 Ligi Kuu ya Zanzibar Iliofika Tamati Jana Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Timu ya KMKM Zanzibar Yatangazwa Bingwa Kwa Msimu wa Mwaka 2018 /2019 Ligi Kuu ya Zanzibar Iliofika Tamati Jana Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
kiungo : Timu ya KMKM Zanzibar Yatangazwa Bingwa Kwa Msimu wa Mwaka 2018 /2019 Ligi Kuu ya Zanzibar Iliofika Tamati Jana Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

soma pia


Timu ya KMKM Zanzibar Yatangazwa Bingwa Kwa Msimu wa Mwaka 2018 /2019 Ligi Kuu ya Zanzibar Iliofika Tamati Jana Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Kamishna wa Michezo Zanzibar Bi. Sharifa Khamis akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nahodha wa Timu ya KMKM Makame Haji Ngwali, baada ya kukamilisha mchezo wake wa mwisho na Timu ya JKU, na Kutangazwa Bingwa kwa mwaka 2018/2019  katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. 


Na.Mwanajuma Juma Zanzibar.
MABINGWA wapya wa ligi kuu ya Zanzibar KMKM wamekabidhiwa kombe lao jana rasmi baada ya kukamilisha mechi yao ya mwisho Kati yao na JKU.

KMKM wamefanikiwa kutwaa ubingwa huo baada ya kufikisha  pointi 80 ubingwa ambao walioukosa karibu miaka mitano .

Kombe hilo walikabidhiwa na kamishna wa Michezo Sharifa Khamis  ambae alikuwa mgeni rasmi wa mchezo huo wa kumalizika ratiba kwa timu zote.

Katika mchezo huo KMKM walianza kuandika bao la Kwanza mnamo dakika ya 34 kupitia kwa mfungaji wake Mussa Ali Mbarouk ambalo lilidumu Hadi  mapumziko.

KMKM ambao walitangulia kupata ubingwa.huo wakiwa na mchezo mmoja mkononi waliingia kipindi cha pili na kuendelea kuliandama lango la wapinzani wao hao .

Bao la pili la KMKM lilifungwa tena na Mussa Ali Mbarouk ambae amefikisha bao la 23 na kutangazwa kuwa mfungaji Bora na Abuubakar Khamis Sufiani wa zimamoto ambae nae alifunga idadi Kama hiyo lakini alitangazwa kuwa mchezaji Bora.

 Mapema uwanjani hapo kulikuwa na mchezo Kati ya Zimamoto na Polisi ambapo ulimalizika kwa Zimamoto kushinda mabao 2-1.
KMKM haasan.makame polosi.

Katika mchezo huo Zimamoto mabao yake yalifungwa na Abuubakar Khamis Sufiani na Mohammad Prince na la Polisi likifungwa na Hassan Makame.

Huko katika uwanja wa Mao Ze Dong timu ya Malindi ilifanikiwa kuibuka na ubingwa wa mabao 2-1 dhidi ya Mafunzo.


Hivyo makala Timu ya KMKM Zanzibar Yatangazwa Bingwa Kwa Msimu wa Mwaka 2018 /2019 Ligi Kuu ya Zanzibar Iliofika Tamati Jana Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.

yaani makala yote Timu ya KMKM Zanzibar Yatangazwa Bingwa Kwa Msimu wa Mwaka 2018 /2019 Ligi Kuu ya Zanzibar Iliofika Tamati Jana Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Timu ya KMKM Zanzibar Yatangazwa Bingwa Kwa Msimu wa Mwaka 2018 /2019 Ligi Kuu ya Zanzibar Iliofika Tamati Jana Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/timu-ya-kmkm-zanzibar-yatangazwa-bingwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Timu ya KMKM Zanzibar Yatangazwa Bingwa Kwa Msimu wa Mwaka 2018 /2019 Ligi Kuu ya Zanzibar Iliofika Tamati Jana Katika Uwanja wa Amaan Zanzibar."

Post a Comment