SPIKA NDUGAI AFUNGUA KIKAO CHA USALAMA WA CHAKULA NA LISHE JIJINI ARUSHA

SPIKA NDUGAI AFUNGUA KIKAO CHA USALAMA WA CHAKULA NA LISHE JIJINI ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AFUNGUA KIKAO CHA USALAMA WA CHAKULA NA LISHE JIJINI ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AFUNGUA KIKAO CHA USALAMA WA CHAKULA NA LISHE JIJINI ARUSHA
kiungo : SPIKA NDUGAI AFUNGUA KIKAO CHA USALAMA WA CHAKULA NA LISHE JIJINI ARUSHA

soma pia


SPIKA NDUGAI AFUNGUA KIKAO CHA USALAMA WA CHAKULA NA LISHE JIJINI ARUSHA

 Spika wa Bunge,  Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mwakilishi wa Umoja wa Afrika kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, David Phiri wakati alipowasili kufungua Kikao cha Umoja wa Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakuangalia Usalama wa Chakula na Lishe tukio lililofanyika leo katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha. Katikati ni Mwakilishi kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Ndg. Fred Kafeero
 Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozana na Mwakilishi kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Fred Kafeero (kulia) wakielekea kwenye Ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya mazungumzo kabla ya Spika Ndugai kufungua Kikao cha Umoja wa Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakuaangalia Usalama wa Chakula na Lishe tukio lililofanyika leo katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza Mwakilishi Umoja wa Afrika kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa, Ndg. David Phiri (kulia) wakati akiwa katika chumba cha mapumziko kabla ya kufungua kikao cha Umoja wa Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakuangalia Usalama wa Chakula na Lishe kilichofanyika leo katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha. Kuanzia kushoto ni Mwakilishi kutoka Umoja wa Afrika Masuala ya Kijamii, Dkt. Margaret Anyetei, Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakuaangalia Usalama wa Chakula na Lishe, Dkt. Abdi Hassan na Mwakilishi kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Fred Kafeero.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Wajumbe Umoja wa Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakuangalia Usalama wa Chakula na Lishe wakati wa kikao kilichofanyika leo katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha.
Wajumbe Umoja wa Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakuangalia Usalama wa Chakula na Lishe wakiwa katika kikao kilichofanyika leo katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Wajumbe Umoja wa Wabunge wa Afrika ya Mashariki wakuangalia Usalama wa Chakula na Lishe tukio lililofanyika leo katika hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha. (PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AFUNGUA KIKAO CHA USALAMA WA CHAKULA NA LISHE JIJINI ARUSHA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AFUNGUA KIKAO CHA USALAMA WA CHAKULA NA LISHE JIJINI ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AFUNGUA KIKAO CHA USALAMA WA CHAKULA NA LISHE JIJINI ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/spika-ndugai-afungua-kikao-cha-usalama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDUGAI AFUNGUA KIKAO CHA USALAMA WA CHAKULA NA LISHE JIJINI ARUSHA"

Post a Comment