SHEGELLA AWATAKA MA DC NA WABUNGE KUJIFUNZA KWA AWESO

SHEGELLA AWATAKA MA DC NA WABUNGE KUJIFUNZA KWA AWESO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHEGELLA AWATAKA MA DC NA WABUNGE KUJIFUNZA KWA AWESO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHEGELLA AWATAKA MA DC NA WABUNGE KUJIFUNZA KWA AWESO
kiungo : SHEGELLA AWATAKA MA DC NA WABUNGE KUJIFUNZA KWA AWESO

soma pia


SHEGELLA AWATAKA MA DC NA WABUNGE KUJIFUNZA KWA AWESO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii, Pangani

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella amewaagiza Wakuu wa Wilaya na wabunge wote wa Majimbo katika mkoa wa Tanga kuhakikisha wanasimamia michezo katika maeneo yao ya kazi kama ilivyoelekeza ilani ya Chama Cha Mapinduzi mwaka 2015.

Shigella amesema hayo alipokuwa akifungua Mashindano ya Aweso Cup yaliyofanyika katika Wilaya ya Pangani katika Viwanja vya Kumba na kudhaminiwa na Mbunge wa jimbo hilo na Naibu Waziri wa Maji Juma Aweso.

"nimeridhika na jinsi gani Mbunge wa jimbo hilo anavyomsaidia Rais Dk John Pombe Magufuli katika kutekelezaa Ilani kwani kwa kudhamini Tamasha kubwa kama hili na kufanikiwa kwa kiasi hichi sio jambo la bahati mbaya bali anazingatia maelekezo ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ambayo katika uchaguzi wa mwaka 2015 CCM iliahidi kusimamia michezo katika kila wilaya hivyo nawaagiza Wakuu wa Wilaya wote mliopo hapa mjifunze kutoka kwa Aweso na Mkafanye hivi kila mmoja katika wilaya zenu"Amesema Rc Shegella.

alisisitiza kuwa maelekezo hayo anyatka yaanze kutekelezwa mapama tu mara baada ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani hivyo kila mmmoja kajipange kwa namana yake.

kwa Upande wa Mkuu wa Wilaya ya Pangani Zainab Abdalah amesema kiuwa uwepo wa ligi hiyo umesaidia kupaza kuchochea Maendeleo katika Wilaya ya pangani na kuinua vipaji kwani ligi hiyo ya Aweso Cup inafanyika kwa kipindi cha Miaka miatatu mfulululizo sasa chini ya udhamini wa mbunge huyo wa pangani.

Nae Mbunge wa Pangani na Naibu waziri wa Maji, Juma Awesu amemshukuru mkuu wa mkoa  Martin Shigella kwa kufika katika na kuzinfdua ligi hiyo ambayo imekuwa kivutio na kuwaunganisha wana pangani wote ambao wanpenda michezo.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shegella akizungumza na Wakazi wa Wilaya ya Pangani waliofika kushuhudia uzinduzi wa Awesu CUP Uliofanyika katika Viwanja vya Kumba.
 Naibu Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Pangani, Juma Awesu, akipiga magoti kuwashukuru wakazi wa Wilaya ya Panagani kujitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa ligi ya Awesu Cup inayofanyika katika wilya hiyo chini ya udhamini wake yeye kama Mbunge wa Jimbo.
 Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Zainab Abdalah akitoa Historia fupi ya Mashindano ya Awesu Cup katika wilaya hiyo na mafanikio yake katika kipindi cha miaka mitatu mfululuzo.
 Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa(CCM), Khadija Shabani(Keisha), akitoa salamu za CCM na namna gani Rais John Pombe magufuli alivyoweza kutekeleza ilani katika mkoa wa Tanga na wilaya zake
 Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shegella, akikabidhi cheti cha Shukrani kwa Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara kwa mchango wake kwa kipindi cha miaka mitatu


 Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe akizungumza katika Tamasha hilo juu ya kupokea maelekezo ya Mkuu wa Mkoa na Kufanya jambo hilo katika mkoa wake.
Sehemu ya Wananchi wa mkoa wa Tanga wakifatilia hotuba mbalimbali za viongozi wakati wa uzinduzi wa Tamasha hilo.

Wasanii wa Vichekesho Kupa na Mtanga ambao ni Wazawa wa Pangani wakisherehesha wakati wa uzinduzi huo
 Uwanja wa Kumba unavyooneka kwa juu kwa jinsi ulivyofurika


Hivyo makala SHEGELLA AWATAKA MA DC NA WABUNGE KUJIFUNZA KWA AWESO

yaani makala yote SHEGELLA AWATAKA MA DC NA WABUNGE KUJIFUNZA KWA AWESO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHEGELLA AWATAKA MA DC NA WABUNGE KUJIFUNZA KWA AWESO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/shegella-awataka-ma-dc-na-wabunge.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHEGELLA AWATAKA MA DC NA WABUNGE KUJIFUNZA KWA AWESO"

Post a Comment