SERENGETI BOYS YAAGA MASHINDANO WAKISHIKILIA MKIA KUNDI A

SERENGETI BOYS YAAGA MASHINDANO WAKISHIKILIA MKIA KUNDI A - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERENGETI BOYS YAAGA MASHINDANO WAKISHIKILIA MKIA KUNDI A, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERENGETI BOYS YAAGA MASHINDANO WAKISHIKILIA MKIA KUNDI A
kiungo : SERENGETI BOYS YAAGA MASHINDANO WAKISHIKILIA MKIA KUNDI A

soma pia


SERENGETI BOYS YAAGA MASHINDANO WAKISHIKILIA MKIA KUNDI A

Wenyeji wa mashindano ya Mataifa Afrika (AFCON)  kwa chini ya vijana wa miaka 17 timu ya Tanzania ‘Serengeti Boys’ wameondoshwa kwenye mashindano hayo wakiwa na alama sifuri. Serengeti Boys Wamemaliza kundi A wakiwa hawajafanikiwa kupata ushindi kwenye mchezo wowote kati ya mitatu waliyoicheza.

Kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya Angola Serengeti Boys walihitaji ushindi wa goli 4-0 na kumuombea Uganda apoteze mchezo wake dhidi ya Nigeria.

Katika mchezo wa leo, Serengeti Boys ndio wa kwanza kuliona lango la Angola katika dakika ya 12 kupitia kwa beki wake Omary Omary aliyeandika goli la kwanza akimalizia kona safi kutoka upande wa kushoto.

Vijana wa Serengeti wakiendelea kusaka goli lingine, ilichukua dakika 5 kwa Angola kufanikiwa kusawazisha kupitia kwa beki wake wa kati Mimo kwa kichwa .


Dakika ya 41,Omar anamfanyia madhambi mchezaji wa Angola na mwamuzi kuweka tuta’ mkwaju wa penati’ na kufanikiwa kuandika goli la pili na katika dakika ya 43 Agiri Ngoda anaisawazishia timu yake na kwenda mapumziko wakiwa 2-2.


Kipindi cha pili kilianza kwa kila upande kusaka nafasi ya kupata goli la ziada, na katika dakika ya 62  Mchezaji wa Angola Davidi anaiandikia timu yake goli la tatuna Mfungaji wa goli la pili Capita  anaiandikia timu yake goli la nne na kuzizima ndoto za watanzania kwenda kombe la Dunia la Vijana nchini Peru mwaka huu.

Baada ya matokeo hayo, Serengeti Boys wanapoteza mchezo wa tatu kwa jumla ya magoli 12 wakifungwa 5-4 dhidi ya Nigeria, 3-0 na Uganda na 4-2 kwa Angola.


Kwenye mchezo mwingine wa kundi B, Nigeria na Uganda wanatok sare 1-1 na kuipa nafasi Angola kuungana na Nigeria kwenda hatua inayofuata akiwa nyuma ya Nigeria wenye alama 7 na Angola akiwa na alama 6.

Mechi zingine za kundi B zitachezwa hapo kesho.


Hivyo makala SERENGETI BOYS YAAGA MASHINDANO WAKISHIKILIA MKIA KUNDI A

yaani makala yote SERENGETI BOYS YAAGA MASHINDANO WAKISHIKILIA MKIA KUNDI A Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERENGETI BOYS YAAGA MASHINDANO WAKISHIKILIA MKIA KUNDI A mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/serengeti-boys-yaaga-mashindano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SERENGETI BOYS YAAGA MASHINDANO WAKISHIKILIA MKIA KUNDI A"

Post a Comment