RAIS DKT. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE RUNGWE NA KYELA MKOANI MBEYA

RAIS DKT. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE RUNGWE NA KYELA MKOANI MBEYA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE RUNGWE NA KYELA MKOANI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE RUNGWE NA KYELA MKOANI MBEYA
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE RUNGWE NA KYELA MKOANI MBEYA

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE RUNGWE NA KYELA MKOANI MBEYA


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia wananchi wa Busokelo wilayani Rungwe katika mkoa  wa Mbeya wakati sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya

lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa Kilometa 81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika. Pamoja naye ni Mbunge na Waziri Mstaafu Profesa Mark Mwandosya na mkewe Mama Lucy Mwandosya.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Busokelo wilayani Rungwe katika mkoa wa Mbeya wakati sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya

lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa Kilometa 81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika. Pamoja naye ni Mbunge na Waziri Mstaafu Profesa Mark Mwandosya na mkewe Mama Lucy Mwandosya na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila (kulia).

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mbunge na Waziri Mstaafu Profesa Mark Mwandosya na mkewe Mama Lucy Mwandosy baada ya sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa Kilometa 81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika.
.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa Kilometa
81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga wananchi  baada ya sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa Kilometa
81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi  eneo la Suma wakati akielekea kuuweka jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Katumba-Busokelo-Tukuyu yenye urefu wa

Kilometa 81.3 ambapo kilometa 10 kati yake ujenzi umeshakamilika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua pazia akisaidiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila  kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya
Kikusya-Ipinda-Matema yenye urefu wa Kilometa 39.1 ambayo itagharimu shilingi Bilioni 65
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila  baada ya kuweka jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Kikusya-Ipinda-Matema
yenye urefu wa Kilometa 39.1 ambayo itagharimu shilingi Bilioni 65
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Kikusya-Ipinda-Matema yenye urefu wa Kilometa 39.1 ambayo itagharimu shilingi Bilioni 65.
.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na  wananchi na kusikiliza kero zao eneo la Tenende, Kyela, baada ya kuweka jiwe la msingi wa barabara ya lami ya Kikusya-Ipinda-Matema yenye urefu wa Kilometa 39.1 ambayo itagharimu shilingi Bilioni 65.




Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE RUNGWE NA KYELA MKOANI MBEYA

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE RUNGWE NA KYELA MKOANI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE RUNGWE NA KYELA MKOANI MBEYA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-aendelea-na-ziara_29.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AENDELEA NA ZIARA YAKE RUNGWE NA KYELA MKOANI MBEYA"

Post a Comment