NYANZA BOTTLERS YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KIBAO ZA KAMPENI YA 'KUNYWAAAH NA USHINDE'

NYANZA BOTTLERS YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KIBAO ZA KAMPENI YA 'KUNYWAAAH NA USHINDE' - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NYANZA BOTTLERS YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KIBAO ZA KAMPENI YA 'KUNYWAAAH NA USHINDE', tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NYANZA BOTTLERS YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KIBAO ZA KAMPENI YA 'KUNYWAAAH NA USHINDE'
kiungo : NYANZA BOTTLERS YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KIBAO ZA KAMPENI YA 'KUNYWAAAH NA USHINDE'

soma pia


NYANZA BOTTLERS YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KIBAO ZA KAMPENI YA 'KUNYWAAAH NA USHINDE'



Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nyanza Bottlers, Samwel Makenge (kushoto) akikabidhi zawadi ya fedha taslimu kiasi cha shilingi laki moja 100,000/= kwa Mkazi wa Mwanza, Carolyne Ngowi wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi wa Promosheni inayoendelea ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ ambayo ilifanyika jana jijini humo. Promosheni hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio ambayo imedhamiria kuwatunuku wateja wake pendwa ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola.
Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nyanza Bottlers, Samwel Makenge (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa fedha taslimu kiasi cha shilingi laki moja 100,000/= wa Promosheni inayoendelea ya ‘Kunywaaah na Ushinde’, Marco Msaba (kushoto) na Carolyne Ngowi (kulia) ambao wote ni wakazi wa Mwanza. Hafla ya makabidhiano ya zawadi hiyo ilifanyika jana jijini humo. Kunywaah na Ushinde ni Promosheni ya miezi mitatu inayoenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio ambayo imedhamiria kuwatunuku wateja wake pendwa ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola.
Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nyanza Bottlers, Samwel Makenge (wa pili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa Promosheni inayoendelea ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ ambao wamejishindia zawadi mbalimbali zikiwemo TV na fedha taslim wote wakiwa ni wakazi wa Mwanza. Hafla ya makabidhiano ya zawadi hiyo ilifanyika jana jijini humo. Kunywaah na Ushinde ni Promosheni ya miezi mitatu inayoenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio ambayo imedhamiria kuwatunuku wateja wake pendwa ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola.
Meneja Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Nyanza Bottlers, Samwel Makenge (kushoto) akikabidhi zawadi ya Runinga kwa Mkazi wa Mwanza, Shaban Ismail wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi wa Promosheni hiyo inayoendelea ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ ambayo ilifanyika jana jijini humo. Promosheni hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio ambayo imedhamiria kuwatunuku wateja wake pendwa ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola.


Hivyo makala NYANZA BOTTLERS YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KIBAO ZA KAMPENI YA 'KUNYWAAAH NA USHINDE'

yaani makala yote NYANZA BOTTLERS YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KIBAO ZA KAMPENI YA 'KUNYWAAAH NA USHINDE' Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NYANZA BOTTLERS YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KIBAO ZA KAMPENI YA 'KUNYWAAAH NA USHINDE' mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/nyanza-bottlers-yaendelea-kumwaga.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NYANZA BOTTLERS YAENDELEA KUMWAGA ZAWADI KIBAO ZA KAMPENI YA 'KUNYWAAAH NA USHINDE'"

Post a Comment