MHITIMU AVAMIA MTANDAO WA SERIKALI NA KUJIAJIRI KWA DONGE NONO

MHITIMU AVAMIA MTANDAO WA SERIKALI NA KUJIAJIRI KWA DONGE NONO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MHITIMU AVAMIA MTANDAO WA SERIKALI NA KUJIAJIRI KWA DONGE NONO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MHITIMU AVAMIA MTANDAO WA SERIKALI NA KUJIAJIRI KWA DONGE NONO
kiungo : MHITIMU AVAMIA MTANDAO WA SERIKALI NA KUJIAJIRI KWA DONGE NONO

soma pia


MHITIMU AVAMIA MTANDAO WA SERIKALI NA KUJIAJIRI KWA DONGE NONO

Na Leandra Gabriel, Blogu ya Jamii
BRIGHT CHABOTA mhitimu wa chuo aliyesomea masuala ya TEHAMA kutoka nchini Afrika Kusini anasakwa na polisi nchini humo kwa tuhuma za kudukua tovuti ya serikali na kujiajiri huku akijilipa mshahara wa donge nono.

Chabota alidukua data za serikali na kujiajiri katika sekta ya afya huku akipokea mshahara bila kufanya kazi kwa miezi 9 kuanzia mwezi Juni mwaka uliopita.

Kijana huyo aligundulika baada ya serikali kukosa rekodi ya malipo kutoka kwake zikiwemo ada ya bima za matibabu hata wazazi wake walipohojiwa walieleza kuwa mtoto wao ameajiriwa na serikali na amekuwa akiwatumia fedha za matumizi. 

Imeelezwa kuwa Chabota alikuwa akijilipa randi 7000 kwa mwezi ambazo ni sawa na shilingi milioni 1.2 kwa mwezi bila kufanya kazi.

Je, udukuzi huu wa Chabota ambaye baba yake ni raia wa Zambia na mama yake akitokea Afrika kusini ni suluhisho kwa vijana waliokosa ajira? nini kifanyike kuhusiana na utaalamu alioufanya kijana huyu?


Hivyo makala MHITIMU AVAMIA MTANDAO WA SERIKALI NA KUJIAJIRI KWA DONGE NONO

yaani makala yote MHITIMU AVAMIA MTANDAO WA SERIKALI NA KUJIAJIRI KWA DONGE NONO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MHITIMU AVAMIA MTANDAO WA SERIKALI NA KUJIAJIRI KWA DONGE NONO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/mhitimu-avamia-mtandao-wa-serikali-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MHITIMU AVAMIA MTANDAO WA SERIKALI NA KUJIAJIRI KWA DONGE NONO"

Post a Comment