Mhasibu UDART afikishwa kizimbani kwa tuhuma za mkughushi Tiketi

Mhasibu UDART afikishwa kizimbani kwa tuhuma za mkughushi Tiketi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mhasibu UDART afikishwa kizimbani kwa tuhuma za mkughushi Tiketi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mhasibu UDART afikishwa kizimbani kwa tuhuma za mkughushi Tiketi
kiungo : Mhasibu UDART afikishwa kizimbani kwa tuhuma za mkughushi Tiketi

soma pia


Mhasibu UDART afikishwa kizimbani kwa tuhuma za mkughushi Tiketi

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV
MHASIBU  wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART), Alphonce Kika (29), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa akikabiliwa na mashtaka 36 ya  kughushi tiketi zenye namba tofauti tofauti za mabasi ya mwendo kasi.

Mshtakiwa Kika anayeishi Mabibo, Loyola amesomewa shtaka lake leo Aprili 30, 2019 mbele ya Hakimu Mkazi, Maira Kasonde wa Mahakama hiyo na kusomewa mashtaka 36 ya kughushi.

Akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali, Janeth Mugho akisaidiana Jenifa Masue amedai, mshtakiwa ametenda makosa hayo Aprili 4, 2019 katika Kituo cha mabasi ya mwendo kasi kilichopo Mbezi ndani ya Wilaya ya Ubungo na jijini Dar es Salaam.

Imedaiwa siku ya tukio mshtakiwa Kika  kwa nia ya kudanganya au kutapeli alighushi tiketi 36 za basi zenye namba tofauti tofauti za Aprili 18, 2019 akidanganya kuwa zimetolewa na UDART kitu ambacho si kweli.

Hata hivyo, mshtakiwa amekana mshtaka yote na amerudishwa rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana amhapo mahakama imemtaka kuwa na  mdhamini mmoja atakayesaini bondi ya Sh milioni 20.

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Mei 13,2019, kwa mujibu wa upande wa mashtaka  upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika.
MHASIBU wa Kampuni ya Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (UDART) ,Alphonce Kika ,akisindikizwa na polisi kuelekea katika  kizimba cha  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kwa ajili ya kusomewa mashtaka 36  ya kugushi yanayomkabili .



Hivyo makala Mhasibu UDART afikishwa kizimbani kwa tuhuma za mkughushi Tiketi

yaani makala yote Mhasibu UDART afikishwa kizimbani kwa tuhuma za mkughushi Tiketi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mhasibu UDART afikishwa kizimbani kwa tuhuma za mkughushi Tiketi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/mhasibu-udart-afikishwa-kizimbani-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mhasibu UDART afikishwa kizimbani kwa tuhuma za mkughushi Tiketi"

Post a Comment