JENGO KONGWE LA HOSPITALI YA MNAZIMMOJA KUFANYIWA MATENGENEZA YA PAA NA DARI

JENGO KONGWE LA HOSPITALI YA MNAZIMMOJA KUFANYIWA MATENGENEZA YA PAA NA DARI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JENGO KONGWE LA HOSPITALI YA MNAZIMMOJA KUFANYIWA MATENGENEZA YA PAA NA DARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JENGO KONGWE LA HOSPITALI YA MNAZIMMOJA KUFANYIWA MATENGENEZA YA PAA NA DARI
kiungo : JENGO KONGWE LA HOSPITALI YA MNAZIMMOJA KUFANYIWA MATENGENEZA YA PAA NA DARI

soma pia


JENGO KONGWE LA HOSPITALI YA MNAZIMMOJA KUFANYIWA MATENGENEZA YA PAA NA DARI

Na Ramadhani Ali - Maelezo Zanzibar 

Jengo kongwe la Hospitali Kuu ya Mnazimmoja linatarajiwa kufanyiwa matengenezo ya paa na dari kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia Jumatano ijayo kutokna na kuvuja kwa muda kirefu.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake, Msemaji Mkuu wa Hospitali ya Mnazimmoja Hassan Makame alisema kuvuja kwa jengo hilo kumepelekea sehemu kubwa ya dari kuharibika na kuhitaji matengenezo makubwa.

Alisema kutokana na ushauri uliotolewa na Mamlaka ya Mji Mkongwe, paa la Hospitali hiyo halitavunjwa bali litafanyiwa marekebisho sehemu za misumari inayovujisha na kuwekwa misumari mipya.

Alisema hatua hiyo ni miongoni mwa juhudi mbali mbali zinazochukuliwa na Wizara ya Afya kuhakikisha Hospitali hiyo inafikia lengo la kuwa Hospitali ya rufaa.

Hassan aliwata wananchi kutoa ushirikiano kwa uongozi wa Hospitali kutokana na usumbufu utakaojitokeza kwa sababu wagonjwa ambao hawatakuwa na sababu kubwa ya kulazwa wataruhusiwa na upasuaji unaoweza kusubiri utasogezwa siku za mbele.

Hata hivyo Msemaji huyo aliwahakikishia wananchi kuwa upasuaji wa dharura na ambao hauwezi kusubiri utafanywa wakati wote wa matengenezo.

Katika kudumisha hali ya usafi ndani ya wodi za wagonjwa, msemaji Hassan aliwashauri jamaa wa wagonjwa wanaolazwa kuacha tabia ya kuchukua mizigo mingi kwani huduma nyingi zinapatikana hapo hapo.

Matengenezo ya paa na dari katika Hospitali kongwe ya Mnazimmoja yatafanywa na Kampuni ya Ujenzi ya Mamba na yatagharimu shilingi milioni 154 hadi yatakapo kamilika.



Hivyo makala JENGO KONGWE LA HOSPITALI YA MNAZIMMOJA KUFANYIWA MATENGENEZA YA PAA NA DARI

yaani makala yote JENGO KONGWE LA HOSPITALI YA MNAZIMMOJA KUFANYIWA MATENGENEZA YA PAA NA DARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JENGO KONGWE LA HOSPITALI YA MNAZIMMOJA KUFANYIWA MATENGENEZA YA PAA NA DARI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/jengo-kongwe-la-hospitali-ya-mnazimmoja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JENGO KONGWE LA HOSPITALI YA MNAZIMMOJA KUFANYIWA MATENGENEZA YA PAA NA DARI"

Post a Comment