title : Balozi Dkt. Mahiga azungumza na wasajili wasaidizi watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha
kiungo : Balozi Dkt. Mahiga azungumza na wasajili wasaidizi watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha
Balozi Dkt. Mahiga azungumza na wasajili wasaidizi watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha
Waziri wa Katiba na Sheria mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na wasajili wasaidizi wa watoa huduma ya msaada wa kisheria ambao ni maafisa maendeleo ya jamii kutoka katika Halmashauri za Wilaya, Majiji na miji na kuzungumza nao leo jijini Arusha.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Amon Mpanju akitoa neno wakati wa kongamano la watoa huduma ya msaada wa kisheria nchini lililofanyika jijini Arusha.
Msajili wa watoa huduma ya msaada wa Kisheria nchini Kutoka Wizara y aKatiba na Sheria Bibi Felista Mushi akizungumza wakati wa kongamano la watoa huduma ya msaada wa kisheria kwa wenye uhitaji nchini linalofanyika jijini Arusha
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akizungumza na wasajili wasaidizi wakati wa kongamano la watoa huduma ya msaada wa kisheria nchini linalofanyika jijini Arusha.
Baadhi ya washiriki wa kongamano la watoa huduma ya msaada wa kisheria wakiwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga na viongozi wa wizara baada ya mhe. Wazri kuzungumza na washiriki hao jijini Arusha .
washiriki wa kongamano wakisikiliza maelezo mbalimbali kutoka kwa viongozi waliokuwa wakizungumza wakati wa kongamano la watoa huduma ya msaada wa kisheria lililofanyika jijini Arusha
Hivyo makala Balozi Dkt. Mahiga azungumza na wasajili wasaidizi watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha
yaani makala yote Balozi Dkt. Mahiga azungumza na wasajili wasaidizi watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Dkt. Mahiga azungumza na wasajili wasaidizi watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/04/balozi-dkt-mahiga-azungumza-na-wasajili.html
0 Response to "Balozi Dkt. Mahiga azungumza na wasajili wasaidizi watoa huduma ya msaada wa kisheria jijini Arusha"
Post a Comment