title : WITO WATOLEWA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI KUTEMBELEA MAONESHO WIKI YA MAJI MNAZI MMOJA
kiungo : WITO WATOLEWA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI KUTEMBELEA MAONESHO WIKI YA MAJI MNAZI MMOJA
WITO WATOLEWA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI KUTEMBELEA MAONESHO WIKI YA MAJI MNAZI MMOJA
Mhandisi wa Maji wa Manispaa ya Ilala,Upendo Omary akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Uzinduzi wa wiki ya Maji kwa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka, DAWASA Inafanya Maadhimisho hayo kwa kutoa elimu kwa wakazi wa Dar es Salaam katika Viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo wadau mbalimbali wameshiriki
Mhandisi wa Maji wa Manispaa ya Ilala,Upendo Omaryakizungumza na Waandishgi wa Habari juu ya Uzinduzi wa wiki ya Maji kwa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka, DAWASA Inafanya Maadhimisho hayo kwa kutoa elimu kwa wakazi wa Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka DAWASA wakimsikiliza Mmoja wa Wakazi wa Dar es Salaam ambae amefika katika Maonyesho ya Wiki ya Maji yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam
Mwanamama akipata Maelezo kutoka kwa mmoja wa wato huduma kwa wateja juu ya huduma za DAWASA Katika Maonyesho ya Wiki ya Maji yanayoendeea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala WITO WATOLEWA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI KUTEMBELEA MAONESHO WIKI YA MAJI MNAZI MMOJA
yaani makala yote WITO WATOLEWA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI KUTEMBELEA MAONESHO WIKI YA MAJI MNAZI MMOJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WITO WATOLEWA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI KUTEMBELEA MAONESHO WIKI YA MAJI MNAZI MMOJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/wito-watolewa-kwa-wakazi-wa-dar-es.html
0 Response to "WITO WATOLEWA KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI KUTEMBELEA MAONESHO WIKI YA MAJI MNAZI MMOJA"
Post a Comment