title : WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI
WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, Machi 31, 2019 kushiriki katika Kikao cha Mashauriano kati ya Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti kuhusu mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara kilichofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na katikati ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, William Tate Ole Nasha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Machi 31, 2019 alishiriki katika Kikao cha Mashauriano kati ya Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti kuhusu mambo muhimu yaliyojitokeza kwenye Kamati za Kisekta wakati wa kujadili utekelezaji wa Bajeti za Wizara kilichofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni jijini Dodoma. Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza katika Kikao hicho.
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/waziri-mkuu-majaliwa-ashiriki-kikao-cha.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI"
Post a Comment