title : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKISALIMIA WANANCHI KIJIJINI KWAKE NANDAGALA WILAYANI RUANGWA
kiungo : WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKISALIMIA WANANCHI KIJIJINI KWAKE NANDAGALA WILAYANI RUANGWA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKISALIMIA WANANCHI KIJIJINI KWAKE NANDAGALA WILAYANI RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na dada yake, Fatma Majaliwa kijijini kwake Nandagala Machi 15.2019, kushoto ni mtoto wa dada yake Hidaya Rashid.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na vijana waendesha bodaboda kijijini Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019.
aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi bakora mwanakijijini wa Nandagala Mzee Khamis Kandege Machi 15.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kisima cha maji safi, katikakijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwashukuru Halima Athumani (kulia) na Zuena Bakari (katikati) kwa zawadi yamahindi, katika kijiji cha Nandagala Wilayani Ruangwa Machi 15.2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia watoto, katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na vijana kijijini kwake Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Bi. Fatu Omar kijijini kwake Nandagala Machi 15.2019, aliye soma nae darasa moja shule ya msingi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na mmoja wa Watoto waliopo kijijini kwake Nandagala
Hivyo makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKISALIMIA WANANCHI KIJIJINI KWAKE NANDAGALA WILAYANI RUANGWA
yaani makala yote WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKISALIMIA WANANCHI KIJIJINI KWAKE NANDAGALA WILAYANI RUANGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKISALIMIA WANANCHI KIJIJINI KWAKE NANDAGALA WILAYANI RUANGWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/waziri-mkuu-kassim-majaliwa-akisalimia.html
0 Response to "WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKISALIMIA WANANCHI KIJIJINI KWAKE NANDAGALA WILAYANI RUANGWA"
Post a Comment