TANROAD WAANZA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BARA BARA YA IGAWA-TUNDUMA.

TANROAD WAANZA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BARA BARA YA IGAWA-TUNDUMA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANROAD WAANZA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BARA BARA YA IGAWA-TUNDUMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANROAD WAANZA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BARA BARA YA IGAWA-TUNDUMA.
kiungo : TANROAD WAANZA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BARA BARA YA IGAWA-TUNDUMA.

soma pia


TANROAD WAANZA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BARA BARA YA IGAWA-TUNDUMA.

Na Emanuel Madafa,Mbeya.

Serikali ya Mkoa wa Mbeya,  imesema  wataalamu  kutoka TANROAD, wameanza zoezi laupembuzi yakinifu wa ujenzi wa Barabara ya Igawa-Tunduma.

Imesema tayari tmu ya wataalamu inaendelea na zoezi hilo na kwamba ujenzi huo wa barabara unatarajia kutumia miezi 14.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, ameyasema hayo leo, wakati akielezea hatua mbalimbali ambazo serikali inazifanya kwenye utatuzi wa changamoto za miundombinu ya barabara.

 “Tayari ujenzi wa barabara kipande cha Igawa hadi Mafinga kimekwisha kamilika,  kwahiyo hata hii ambayo imeanza kufanyiwa upembuzi nayo itakamilika kwa wakati “

Hata hivyo kwa mujibu wa Chalamila, amesema pia mchakato wa ujenzi wa barabara ya mchepuko ya Inyara -Mbalizi  kwa ajili ya matumizi ya magari makubwa ya mizigo unaendelea.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila,


Hivyo makala TANROAD WAANZA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BARA BARA YA IGAWA-TUNDUMA.

yaani makala yote TANROAD WAANZA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BARA BARA YA IGAWA-TUNDUMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANROAD WAANZA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BARA BARA YA IGAWA-TUNDUMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/tanroad-waanza-upembuzi-yakinifu-ujenzi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TANROAD WAANZA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BARA BARA YA IGAWA-TUNDUMA."

Post a Comment