Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen

Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen
kiungo : Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen

soma pia


Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen

Waziri wa Viwanda na Biashara, George Kakunda ameuomba Ubalozi wa Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen ili kuongeza chachu ya maendeleo ya uchumi.

Pia amesema ni lazima taasisi zote za serikali na viwanda kutumia mfumo huo ili kuleta mabadiliko ya tabia kwa wafanyakazi na kuongeza uzalishaji.

Ameyasema hayo jana Machi 1, 2019 wakati akitoa tuzo kwa kampuni zilizoongoza katika matumizi ya Kaizen.
Kakunda amesema ili kufikia Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025 ya kuwa na uchumi wa kati, ni lazima kupunguza vizuizi ikiwemo kodi nyingi zinazotozwa na mamlaka mbalimbali ambazo haziwezi kusaidia kufikia uchumi husika.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, George Kakunda akizungumza wakati wa kutoa tuzo kwa kampuni zilizoongoza katika matumizi ya Kaizen katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka,MMG)

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, George Kakunda akimkabidhi tuzo kwa kampuni zilizoongoza katika matumizi ya Kaizen katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)


Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, George Kakunda akiangalia bidhaa za baadhi ya wajasiriamali mara baada ya kutembelea mabanda wakati wa hafla ya kutoa tuzo kwa kampuni zilizoongoza katika matumizi ya Kaizen katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
Picha ya pamoja


Hivyo makala Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen

yaani makala yote Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/waziri-kakunda-auomba-ubalozi-wa-japan.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri Kakunda auomba Ubalozi wa Japan kuendelea kufadhili mfumo wa Kaizen"

Post a Comment