title : Wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya BLW wakagua ujenzi wa jengo la ZBC Pemba
kiungo : Wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya BLW wakagua ujenzi wa jengo la ZBC Pemba
Wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya BLW wakagua ujenzi wa jengo la ZBC Pemba
KATIBU Mkuu Wizara ya Habari utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Khadija Bakari, akisoma taarifa ya Wizara hiyo upande wa Pemba, kwa wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya Baraza la wawakilishi Zanzibar, huko katika uwanja wa Gombani kabla ya kupitiza taarifa hiyo, hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)
INJINIA wa Ujenzi kutoka Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Ali Mbarouk akitoa maelezo juu ya ujenzi wa jengo la Ghorofa mbili la ZBC Mkoroshoni, kwa wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wawanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi zanzibar wakati walipotembelea eneo hilo, hivi karibuni katika ziara yao.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)
INJINIA wa Ujenzi kutoka Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Ali Mbarouk akiwaonyesha ramani ya ujenzi wa jengo la ZBC litakavyokuwa baada ya kumalizika, wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wawanawake Habari na Utalii ya Baraza la Wawakilishi zanzibar wakati walipotembelea eneo hilo, hivi karibuni katika ziara yao.(PICHA NA ABDI SUELIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya BLW wakagua ujenzi wa jengo la ZBC Pemba
yaani makala yote Wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya BLW wakagua ujenzi wa jengo la ZBC Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya BLW wakagua ujenzi wa jengo la ZBC Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/03/wajumbe-wa-kamati-ya-maendeleo-ya_24.html
0 Response to "Wajumbe wa kamati ya Maendeleo ya Wanawake Habari na Utalii ya BLW wakagua ujenzi wa jengo la ZBC Pemba"
Post a Comment